Arumeru Mashariki Ndio Kampeni Zimeanza??

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
Habari Wanajamii

Nimetokea Kikatiti Leo Asubuhi Mida Ya Saa Tatu Hivi Kuelekea Tengeru, Katika Kila Kituo Cha Daladala Na Penye Maduka Au Soko Kumepandishwa Bendera Za CCM Tena Mpya Kabisa, Kufika Usa River Nawakuta Watu Wanazidi Kuzipandisha.

Swali. Je Ndio Kampeni Zimeanza? Na Kama Sio, Je Ni Kwanini Zipandishwe Leo? Mwenye Kujua Anijuze.

Rest In Peace J. Sumari Mbunge
 
kesho kuna ugeni wa chama na serikali kwa ajili ya mazishi.hapo lazima kuna shinikizo la R.C ili aonekane mchapa kazi.
 
Kufa kufaana,mkuu!
 
We ndg yangu acha tu zingepandishwa za CHADEMA pasingetosha wapandishe hd kwenye migomba jimbo liko CHADEMA Tena nawashauri wasijusumbue ku2mia bilion 3 kama Igunga, Arumeru watu niwasomi hawadanganyiki NAWASILISHA
 
Hilo swala tumeulizana kwenye gari sana
 
Cha Ajabu hazipepei nusu mlingoti

sasa mtu kabadndika dirishani kwake hapo ita kaaje nusu mlingoti.embu jaribu kuwauliza kwanini wameweka hizo bendera.Je wameweka kwa utashi wao au kuna watu walipita na kuweka wao wakanywa pebusi.
 
nawaona wabunge wawili wapya wa CDM, Nawaona wapambanaji wanachukuwa jimbo kirahisi kuliko chaguz ndogo zozote ziliyowahi fanyika
 
Sikujua kwamba RC anafanya kazi ya CCM.
Wacha waweke hizo bendera zao, aibu yao kwenye sanduku la Kura!
Ingelikuwa ni bendera za CDM Arusha pasingekalika, wangesingizia CDM wameanza kampeni kabla.
 
haya mambo ni ya ajabu kabisa, si wasubiri msiba uishe kabisa ndo waanze mambo yao ya ajabu? wana laana
 
kesho kuna ugeni wa chama na serikali kwa ajili ya mazishi.hapo lazima kuna shinikizo la R.C ili aonekane mchapa kazi.

Una uhakika na uyasemayo? Ulikuwepo RC aliposhinikiza? Wewe utakuwa ni mmoja wa wale wanaokufa na kufikia kuzikwa midomo ikiwa wazi. Uzushi haupendezi na wala Mola hapendi. Chinga sana!
 
sasa mtu kabadndika dirishani kwake hapo ita kaaje nusu mlingoti.embu jaribu kuwauliza kwanini wameweka hizo bendera.Je wameweka kwa utashi wao au kuna watu walipita na kuweka wao wakanywa pebusi.

Matwi Ziko barabarani nyingi zimepandiswa na fito za mijohoro mabarabarani kwenye zile chuma za road signs zilizoharibika
 
Una uhakika na uyasemayo? Ulikuwepo RC aliposhinikiza? Wewe utakuwa ni mmoja wa wale wanaokufa na kufikia kuzikwa midomo ikiwa wazi. Uzushi haupendezi na wala Mola hapendi. Chinga sana!

mkuu huwa siweki post bila kuhakikisha!naona nimkugusa....pabaya,pole lakini ukweli unauma siku zote.
mkuu mimi sitakufa ....nitapotea!!
 
Ngoja kwanza tumzike Mh. Sumari, mambo ya kampeni muda huu ni kutomtendea haki yake
 
Back
Top Bottom