Mipaka ya jimbo la arumeru mashariki !

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,149
9,346
Wakuu napenda kufahamu jimbo la Arumeru mashariki linajumuisha maeneo gani ya Arusha Mjini!
 
Ukitokea Mjini, Arumeru mashariki inaanzia Mto Nduruma hadi junction ya Kia, na pia inapakana kwa upande mmoja na wilaya ya Simanjiro. Baadhi ya maeneo ni Tengeru, Usa River, Kikatiti, King'ori, Maji ya chai, Momela, Makumira n.k
 
kwa upande wa kaskazini limepakana na longido,kusini limepakana na simanjiro,magharibi limepakana na arumeru magharibi,mashariki limepakana na jimbo la mwanri(siha)
 
Wakuu napenda kufahamu jimbo la Arumeru mashariki linajumuisha maeneo gani ya Arusha Mjini!
mkuu jimbo la arumeru mashariki halijumuishi eneo lolote la arusha mjini,arumeru mashariki ni arumeru mashariki na arusha mjini(arusha municipality) ni arusha mjini.i suggest uedit hili swali lako.
 
mkuu jimbo la arumeru mashariki halijumuishi eneo lolote la arusha mjini,arumeru mashariki ni arumeru mashariki na arusha mjini(arusha municipality) ni arusha mjini.i suggest uedit hili swali lako.

Well said! Sijui kwa nini tunachanganya mambo kiasi hicho. In short Arusha Mjini ni lile jimbo maarufu Tanzania ambalo kwa sasa liko chini ya Fgt. G. Lema. Natumaini ataelewa sasa. [Fgt. = Fighter].
 
Back
Top Bottom