Ipigwe kura ya kutokuwa na imani na GNU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipigwe kura ya kutokuwa na imani na GNU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by realznzrian, Jan 22, 2012.

 1. r

  realznzrian Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jussa ipigwe kura ya
  kutokuwa na imani na
  gnu mimi ni mkaazi wa mji
  mkongwe, regardless
  chama changu/au kama
  sina chama.
  Mwakilishi wangu jussa,
  nataka upeleke baraza la wawakilishi mada ya
  kutokuwa na imani na rais
  shein na serikali ya umoja
  wa kitaifa. Hivyo ipigwe kura ya
  kutokuwa na imani na
  shein pamoja na serikali ya
  gnu.
  Twende kwenye uchaguzi;
  lakini suala la mipaka yetu kuingiliwa na tanganyika
  hatulikubali. Eneo la
  zanzibar libaki kuwa la
  zanzibar. Masuala ya kiuchumi
  hayamo kwenye muungano
  (sababu kubwa ya kupeleka
  ombi la kuongezewa mpaka
  ni kukuza uchumi kwa njia
  ya mafuta,gas na kuvua samaki; pia wameongezea
  kisingizio cha usalama wa
  piracy ya wasomali) kwa nini kura ya kutokuwa
  na imani na shein:- tangu kuja kwake
  madarakani amelirudisha
  nyuma suala la mafuta
  kwenye mjadala wakati
  tulishalimaliza katika
  muhula uliopita. Lengo lake tulitatue katika
  ngazi ya muungano; sasa
  muungano wameshampa
  jibu hilo namna ya
  kulitatua ni kuongeza
  mpaka wa jamhuri wa muungano (baadae
  watakwambia mafuta yamo
  katika mpaka wa jamhuri
  ya muungano, kwahivyo
  mafuta ni ya muungano)
  na wakati hili linaendelea serikali ipo kimya; haitoi
  tamko tukaisapoti;
  hii
  inaonyesha yupo pale kwa
  maslahi ya tanganyika. Kwa kumalizia jamhuri ya
  muungano haina mipaka
  kwa sababu si nchi (jamhuri
  maana yake ni aina ya
  utawala; kinyume chake ni
  usultani/ukhalifa/ufalme/ nk). Nchi ni mbili zenye mipaka
  yake; baharini huku
  wenyewe ni zanzibar;
  tanganyika haijawahi kuwa
  na mpaka wa bahari
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jussa ni member wa jf?
   
 3. m

  mwikumwiku Senior Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Realznzrian: kama huweze kumpelekea Jusa wako huu upupu basi peleka Nungwi hapa siyo mahala pake! Crap!
   
 4. r

  realznzrian Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya si maneno yangu ni maoni ya mwananchi wa mji mkongwe.wapuuzi nyinyi
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Wewe ndiye mpuuzi. Wenyewe walipiga kura, karibu 60% wakaikubali hiyo GNU, wewe mgogo mambo ya Zenji wayatakia nini? Omba kura kurudisha serikali ya Tanganyika.
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mpuuzi wewe kwani hapa umeambiwa ndiyo jusa anapatikana? mlipiga kura wenyewe leo tena na kiherehere
   
 7. vengu

  vengu JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  Ondoa ujinga wako hapa tafadhali...huna hoja za msingi mtumwa we!
   
 8. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  we vutuu mtafute mwenyewe
   
 9. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vunjeni muungano
   
 10. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  "tanganyika haijawahi kuwa
  na mpaka wa bahar
  "
  Mkuu inamaana hata bahari ya Mtwara ni ya zenji na si Tanganyika?
  Naona unatakiwa kurekebisha sentensi yako hii.
   
Loading...