Hii sawa?

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786
04.jpg

Makamu wa Rais akiwa katika ziara rasmi ya kiserikali mkoani Lindi inayayogharimiwa na kodi zetu
wote kaamua kufanya kazi ya kukusanya kadi za upinzani.
 
We kama si mjinga basi tatizo lako kamuone Dk Milembe Huyo aliyerejesha Kadi ungetaka airejeshe kwako ama mtoni?? Hapo ndo mahali pake. Hata viongozi wa chama chako wanatembea na kupokea Kadi za vyama vingine wakitumia pesa za ruzuku inayotolewa kwa kila chama chenye wabunge Bungeni ambayo inatokana na Kodi za Wooooote. Tatizo lenu cdm kila kitu mnafikiri mnaonewa.....Acha hizo za kueneza chuki bila kufikilia mara mbili kama hujui mambo unauliza
 
Humu jf watu wengi nasikitika kwamba wanatumia kamasi badala ya bongo.kama gharib bilali anataka kukusanya kadi aende ziara ya chama ila kutumia ziara ya kiserikali kueneza ccm si sahihi .kama haya yanaendelea huo nao ni ufisadi.
 
We kama si mjinga basi tatizo lako kamuone Dk Milembe Huyo aliyerejesha Kadi ungetaka airejeshe kwako ama mtoni?? Hapo ndo mahali pake. Hata viongozi wa chama chako wanatembea na kupokea Kadi za vyama vingine wakitumia pesa za ruzuku inayotolewa kwa kila chama chenye wabunge Bungeni ambayo inatokana na Kodi za Wooooote. Tatizo lenu cdm kila kitu mnafikiri mnaonewa.....Acha hizo za kueneza chuki bila kufikilia mara mbili kama hujui mambo unauliza
kubishana nawe nikupoteza muda. Shida yako huelewi tofaut ya ziara ya serikal na ziara ya chama.
Makam wa rais alienda kwa ziara ya serikal akapeperusha bender ya nch sio yachama nawaliokuwepo uwanjan sio wanachama wachama fulan niwananchi. Kama hawa viongoz watashndwa kutenganisha kofia zao watueleze ili tuwajulishe wanachama wetu uongoz wa serikal unapokuwa naziara wasiende kuwasikiza. Hili jukwaa nila magreat thinkers nasio washabiki
 
Kwa taarifa yako we ndo mjinga na unahtaji kufahamishwa,unatakiwa utofautishe kiongoz anapokuwa ktk majukum ya serikal na ki chama, akiwa anafanya mambo ya serikal haitakiw ila angekuwa kichama hainashida,so ucpende kutetea vtu vcvyo vya mcing.
 
Hapa nimejisikia nitie maguu kidogo, ikiwa dhamira yangu ni kuwapeni wosia kwa uchache.
Imenilazimu baada ya kuuona mtiririsho wa uzi hauendi kiungwana.
Wawe CCM , CDM , NCCR , CUF , Mimi wote mimi nawapenda na nnawaheshimu kwa itikadi ya vyama vyenu.
Na kwa upande mwingine nawapeni POLE kwa mahaba yenu kwa vyama vya siasa.
Nawaasa jadilianeni kwa busara na hekima, na jadilianeni bila jazba, mizuka, na mijitusi.
 
Hajafanya sawa kwakweli!kuna tofauti kubwa kati ya ziara ya kiserikali na ya kichama!kwani huo mkutano unahudhuriwa na wanaccm tu?watanzania tunapenda kuweka siasa za chama hata mahali pasipostahili
 
We kama si mjinga basi tatizo lako kamuone Dk Milembe Huyo aliyerejesha Kadi ungetaka airejeshe kwako ama mtoni?? Hapo ndo mahali pake. Hata viongozi wa chama chako wanatembea na kupokea Kadi za vyama vingine wakitumia pesa za ruzuku inayotolewa kwa kila chama chenye wabunge Bungeni ambayo inatokana na Kodi za Wooooote. Tatizo lenu cdm kila kitu mnafikiri mnaonewa.....Acha hizo za kueneza chuki bila kufikilia mara mbili kama hujui mambo unauliza

HAPANA kiongozi. Katiba yetu imetofautisha vizuri mno wajibu wa kiongozi na ndio maana JK hakutumia zile BMW kwenye kampeni maana alijua kuna wakati wa kufanya siasa kwa kuwashawishi wananchi juu ya sera za chama nakisha kuwaomba kura na baada ya hapo unapobahatika kuchaguliwa unakuwa kiongozi wa umma na sio rais wa wana CCM pekee! Hapa mkuu kachemka mbaya maana hakuja kufungua tawi la CCM au hakuja kichama alikuja kama kiongozi wa nchi hivyo lichokifanya sio sahihi. Tukiruhusu mambo haya kuna siku mwingine atapokea kadi akiwa msikitini au kanisani au hata msibani.
 
Hapo hapo kuna sheikh wa mkoa yaani hapa sasa ndio sielewi kabisaa, maasikofu nao wako upande gani hapo? Siasa+Dini+Utawala= Misuse of Resources.
 
Hapa nimejisikia nitie maguu kidogo, ikiwa dhamira yangu ni kuwapeni wosia kwa uchache.
Imenilazimu baada ya kuuona mtiririsho wa uzi hauendi kiungwana.
Wawe CCM , CDM , NCCR , CUF , Mimi wote mimi nawapenda na nnawaheshimu kwa itikadi ya vyama vyenu.
Na kwa upande mwingine nawapeni POLE kwa mahaba yenu kwa vyama vya siasa.
Nawaasa jadilianeni kwa busara na hekima, na jadilianeni bila jazba, mizuka, na mijitusi.

Mkuu mahaba yamepitiliza mpaka watu wamekuwa misukule ya vyama,hii nayo ni mbaya sana.
 
busara ya kawaida inataka viongozi watenganishe majukumu ya vyama vyao ya yale ya kiserikali - huhitaji kuwa na shahada ya sayansi ya siasa kujua hilo
 
We kama si mjinga basi tatizo lako kamuone Dk Milembe Huyo aliyerejesha Kadi ungetaka airejeshe kwako ama mtoni?? Hapo ndo mahali pake. Hata viongozi wa chama chako wanatembea na kupokea Kadi za vyama vingine wakitumia pesa za ruzuku inayotolewa kwa kila chama chenye wabunge Bungeni ambayo inatokana na Kodi za Wooooote. Tatizo lenu cdm kila kitu mnafikiri mnaonewa.....Acha hizo za kueneza chuki bila kufikilia mara mbili kama hujui mambo unauliza

haya na wewe umetoka wapi, mbona majibu yako ka vile umelogwa, au weweeee.... Ok basi ngoja nikuache kuna mtu kaninongoneza yawezekana ni kichaa wa chama kikuu cha ushirika (kafu + sisiem).
 
Back
Top Bottom