Karimjee kumuaga Sumari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karimjee kumuaga Sumari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jan 21, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  watu wamefurika mno.Viongozi wa kitaifa,wa serikali,vyama vya siasa, wabunge na wananchi wa kawaida.wanachama wa ccm ni wengi sana.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  rais kikwete ataongoza wananchi kuaga mwili apa karimjee
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  prof safari,said arf makam mkiti cdm znz,kamanda lema wanaingia
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  dr slaa,lisu,mbowe,samwel sita,mbowe,na kingunge wanaingia
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,603
  Trophy Points: 280
  Hojatete asante kwa update!. Keep it up.
   
 6. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mhe Rais atajumuika na wananchi kuongoza mazishi jumatatu Arusha

  Slaa, Lissu, Sugu na Samwel Sitta wameingia
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mwili utaondoka kesho kwenda arusha kwa ndege.
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  waziri wa fedha mkulo anaingia.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  namuona kafulila apa
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  pamoja sana pasco
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mbatia,mrema,cheyo wapo.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mukama wa ccm atatoa salam za chama zito anaingia.ametanguliwa kdg na ole sendeka
   
 13. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Weka Photos!
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nchimbi na wasira.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  rais kikwete ataingia hivi punde
   
 16. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hojatete ahsante sana kwa update,
  kwakweli nmekukubali sana mkuu...
  Tutakuwa wote jamvini mzazi.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kikwete ameingia
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  pamoja gwalu.kuna wana jf wanataka picha,zitaruka later plz
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kamanda mbowe atatoa salam za kambi ya upinzani.govt itawakilishwa na lukuvi
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mwili wa marehem unaingia.
   
Loading...