CHADEMA: Oparesheni elimu ya uraia vijijini yazidi kushika kasi

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wakuu,katika mkoa tarajiwa wa Geita CDM iliamua kuanzisha oparesheni maalumu ya kutoa elimu ya uraia vijijini sambamba na ufunguzi wa matawi.Pamoja na uzinduzi wa tawi kijijini Misri uliofanyika mwezi uliopita chini ya katibu wa wilaya Rogers Luhega akisaidiwa na katibu wa vijana wilaya bwana Paulo Vicenti maarufu kwa jina la Dear Mama,kesho jpili timu hiyohiyo itakuwa na uzinduzi wa tawi jipya la cdm katika kijiji cha Nyambogo,kata ya Bulela,tarafa ya Kasamwa,wilaya na mkoa mpya wa Geita zaidi tutawajuza kesho.
 
Safi sana makamanda hakika ukombozi unakuja,hata sisi huku Iringa kesho tukiwa kwenye coaster mbili tunaelekea kushambulia vijiji vya kalenga na Isimani na kufungua matawi zaidi ya manne! Kwa pamoja tutashinda vita hi ya kumng'oa mkoloni mweusi CCM madarakani.
 
Natumaini hadi kumaliza hii miaka minne ilobaki sehemu kubwa ya vijiji vya Tz itakuwa imefikiwa!!!!!
 
Lazima hawa Majambazi tuyamalize, tunataka nchi yetu irudi kwetu wenyewe. Saaafi sana makamanda
 
Wakuu,katika mkoa tarajiwa wa Geita CDM iliamua kuanzisha oparesheni maalumu ya kutoa elimu ya uraia vijijini sambamba na ufunguzi wa matawi.Pamoja na uzinduzi wa tawi kijijini Misri uliofanyika mwezi uliopita chini ya katibu wa wilaya Rogers Luhega akisaidiwa na katibu wa vijana wilaya bwana Paulo Vicenti maarufu kwa jina la Dear Mama,kesho jpili timu hiyohiyo itakuwa na uzinduzi wa tawi jipya la cdm katika kijiji cha Nyambogo,kata ya Bulela,tarafa ya Kasamwa,wilaya na mkoa mpya wa Geita zaidi tutawajuza kesho.

Huyo Dear mama kama sikosei ni product ya Geita Secondary pamoja na yule diwani wa Arusha aliyerudi CDM hivi majuzi Mr Mawazo. Hawa jamaa tangu enzi hizo walikuwa ni majembe kweli kweli kwa kutetea maslah ya umma wa wanafunzi na niwajasiri kuliko unavyoweza kufikiria lakini pia niwajuzi wa kujenga hoja. Kweli CDM ni majembe na cream inajipambanua, acha kweli isonge mbele.
 
Mkuu Escobar,umegusa penyewe na umenikumbusha mbali saaaaaana enzi za headmaster Shitamanwa,kina Mwl mwela,na faza,ila ndiyo hivyo jasiri haachi asili.
 
Mkuu Escobar,umegusa penyewe na umenikumbusha mbali saaaaaana enzi za headmaster Shitamanwa,kina Mwl mwela,na faza, ila ndiyo hivyo jasiri haachi asili.
Duh umenikumbusha mbali sana kiongozi, enzi za kina Mathew, Mapera, Dai, Mgiyabuso, Mwamba, Tangaro, Juliana, Mabula, Mabala, Onyango, Katayani na baadae Madaha na timu yake, duh maisha bana we acha tu!
 
Bila kumsahau Mwlm Nomale,aiseeee ngoja ni ku PM
 
ukiwaeleza magamba namna cdm inavyokata mbuga wanakuona mchawi,hawapendi kuelezwa ukweli.chadema ni chama makini na chenye muono wa mbali.daima peoples power!hongereni wana mkoa mpya wa geita.
 
Back
Top Bottom