David Kafulia kuzungumza yaliyojiri NCCR: LIVE ON STAR TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

David Kafulia kuzungumza yaliyojiri NCCR: LIVE ON STAR TV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yahya Mohamed, Jan 22, 2012.

 1. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari za JUMAPILI wanaforum,
  Tumefanya mabadiliko kidogo katika muendelezo wa vipindi hivi kujadili na kusaidia kutanzua Migogoro ya kisiasa NCHINI na wimbi hili la fukuzafukuza. Badala ya kuwa kwa pamoja David Kafulila na Moses Machali Leo, tumeonelea ni vela haki waliyoipata Vongozi tu ilkuwa nao JUMAPILI iliyopita, anastahili ndugu Kafulila pia ili KUTOA wigo mpana kwa watanzania kujadili vema na kupendekeza njia mbadala kupitia media.

  Kafulila atazungumza na watanzania mud a si mrefu, Maswali tuliyoyahifadhi wiki iliyopita tu Shari za hadi JUMAPILI ijayo tukifanikiwa kuwaweka meza Moja pande zote mbili.

  Karibuni katika mjadala
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Namuuliza kafulila: kila mtu ana mapungufu yake, hakuna aliyekamilka. Yeye (kafulila) ana mapungufu gani -weakness
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Swali kwa Kafulila: Je ikitokea mahakama ikaridhia maamuzi ya CC ya NCCR Mageuzi je ataunda chama chake au ana mpango wa kurudi chama gani?
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Swali kwa Kafulila: Awali alifukuzwa uanachama CDM na kadhalika NCCR wamekufukuza sasa je hauoni kua una uroho wa Madaraka? Maana Mh Machali ameshasema kua ulitaka kumpindua mwenyekiti wako Mbatia naomba ufafanuzi tafadhali
   
 5. M

  Mabewa Senior Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kafulila unatakiwa kutulia sana katika kipindi hiki kigumu lakini pia liwe funzo kwako kwakuwa wewe ni mwanasiasa kijana utakaedumu muda mrefu(mungu akipenda)achana na mambo yatakayokujengea jina baya jifunze kwa rafiki zako hata mimi.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Namuuliza kafulila kutokana na trend ya kutimuliwa ktk vyama viwili chadema(mwanzo) na nccr(sasa),hapo hawezi onekana kwamba yeye ndio mwenye matatizo?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mh. Kafulila, hebu tuambie Katiba ya NCCR ina mapungufu gani yaliyokufanya uyazungumzie mambo ya chama nje ya vikao halali ya chama? Na nini matarajio yako baada ya kufukuzwa na NCCR?
   
 8. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Star tv haipatikani kwenye dishi langu. Nifanyeje wandugu.?.
   
 9. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hata wewe nani ndugu? au anaijua ID yako?
   
 10. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  maswali muliyomuuliza yanatosha kumuonyesha ajue kua ni mbovu.cha msing ajirekebishe arudi cdm tutampokea kama hatakua mamluki
   
 11. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mbona mnawajadili wabunge tu? kwani mbunge akifukuzwa ndio tatizo?

  this is poor mind set tuliyonayo watanzania, tunawahabudu sana watu wenye vyeo na ndomana hata mgeni wako hapo studio anashangaa kufukuzwa Hamad Rashid kwa hoja kuwa yeye ni kiongozi mkubwa??

  kuwa kiongozi mkubwa haimaanisha upo juu ya sheria na taratibu zilizowekwa.

  Tusipokuwa makini, hii demokrasia itatupoteza.
   
 12. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwanza nampongeza Kafulila kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa Kigoma Kusini; Ninavyojua hukufukuzwa Chadema, Je huoni kwamba wakati umefika ukaungana na Chama Chako cha Chadema kulikomboa taifa.
   
 13. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  swali kwa kafulila.Elimu yake aliyoweka kwenye cv ya bunge ina utata,je? Amesoma BBA lini? Na wapi?.2.je ni kweli kafulila vimemo vilivyotoa na ndg machali ni vyako?.2 kabwe zito anahusika vipi? Na huu mgogoro wenu?
   
 14. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Asante Yahya M umeuliza maswali yangu exactly
   
 15. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Swali: Je nikweli wewe ndio ulikuwa mwanzilishi wa hoja kwamba Mbatia afungue keshi kupinga matokeo ya ubunge wa Mpambanaji Halima mdee kama kigezo cha kukiridhisha chama kuwa yeye Mbatia sio kibaraka wa CCM?

  Kama ni kweli ilikuwaje ukatumia hoja hiyo hiyo kumshutumu Mbatia kuwa ni kibaraka kwa CCM kwa kile eti kamfungulia kesi Mbunge wa apinzani?
   
 16. A

  Ashoboza Kabalim Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wa SAUT, Mwanza. Ndg. Kafulila unadhani hata mahakama ikikurejeshea uanachama wako utaweza kukaa meza moja na viongozi wako-NCCR waliokukandamiza kwenye vyombo vya habari?
   
 17. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kafulila najua umepata nafasi ya kupotosha umma, lakini janja janja haitakusaidia hata kidogo, badilika na kuwa na subira then badae utafika pazuri.
   
 18. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  .jpili ijao walete wote wawili kuondoa unafiki
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Swali kwa Kafulila, NCCR Mageuzi, wakikusamehe upo radhi kurudi?
   
 20. B

  Baba Dorcas Member

  #20
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Kafulila tuambie ukwel mtupu nini kimesababisha mpaka Mbatia akufukuze kutoka ktk chama cha NCCR. Je, jumbe zilizosomwa na ndg Machali Jpil iliyopita kwa wa Tz, ni kweli wewe ndo ulizituma kwa Mbatia? Tuambie ukwel kwan kwa kias fulan bado tuna iman na wewe! Af ukrud bungeni unaenda huko kuwakilisha wananchi kwa tiketi ya chama kipi?
   
Loading...