JK's State House is the most accessible

mwikumwiku

Senior Member
Jul 15, 2011
153
35
Pamoja na umri wangu kuwa wa kawida lakini nimebahatika
kuviona na kuvitambua vipindi vyote vya u-rais na "ikulu" zake!
Kwa tathimni ya ngungu ikulu ya kipindi cha u-rais cha kikwete
is too accessible! Nina wasiwasi sana na accessibility hii, hasa
hii inayoendelea sasa kwa madai ya kujadiri mchakato wa ujio
Wa katiba mpya!

Inaonekana kwamba baada ya vyama vya siasa kumaliza zoezi
hili la "kupiga picha na Rais" sasa vitafutia vikundi vya wenye mahitaji
maalumu, NGO nk! Itakuwa ikulu kweli hii!

Kwanini hawa watu wasikutane na wasaidizi wako kwa maana ya
AG na Mawaziri husika? Au kuna usanii ndani ya mikutano?!

Binafsi naona aina mbili za usanii: kwanza baadhi ya wanaoenda
ikulu wanatafuta kusafisha nyota kwa kupiga picha na Rais; Pili
Rais naye anawapiga usanii kwa stahili hiyoyo, kahaww kdg, juice,
picha kwa wingi full kicheko! Baada ya hapo anawa-pet pet migongoni
imetoka!

Hebu tuangalie utkelezaji Wa mikutano iliyopita imezaa nini? Je
ni haya marekebisho yanayokuja bunge hili kwa kufuta "and" na kuweka "or"?

Mkapa aliwahi kuwaambia akina Mrema na wenzake kwamba
hawezi kukutana nao kwa kuwa aligundua hawana jipya ila
kupiga picha na Rais.

Hata Mbatia anakaribishwa Ikulu!!
 
Mkuu Ikulu ni ofisi ya umma tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali! Bahati mbaya ikulu yetu inakuwa pia makazi rasmi ya Rais. Rais hawaaliki nyumbani kwake anawaalika ofisini - Ikulu. Nadhani issue hapa ni kwamba wakienda wanazungumza nini na matokeo yake ni yapi? Ila hayo ya kupiga picha na vicheko huenda yakaja kutuhujumu.
 
Wakati wa nyerere ni maskofu ndio walikuwa wanapishana Ikulu
Wakati wa mwinyi ni wageni wa mke wa Rais ndio walikuwa wanapishana Ikulu
Wakati wa Mkapa ni wazee wa dili ndio walikuwa wanapishana Ikulu
Wakati wa Kikwete ni wanasiasa wa upinzani ndio wanaopishana Ikulu.

Yupo bora?
 
Kama wananchi na wapiga kura wao tunahaki ya ku
kujua wanazungumza nini wawapo ikulu na pia tunahita
kuona matokeo ya mazungimzo hayo! Siyo Picha!!!!!!
Sasa badala ya kutwambia au kutuonyesha wameongea
nini wanatuonyesha picha!!!!! Ndiyo maana
nasema hawana jipya wanataka kupiga picha na rais!

Mh! Rais hao wanakuja maslahi yao wenyewe kuwa makini! Sasa sisi wananchi tunataka kuja kuonana na wewe! Kumbuka kwa wapo wananchi wengi wasio na vyama!
 
kama viongozi wameamua kukutana na kujadili mambo yenye maslahi kwa taifa ni jambo jema - tuwatie moyo badala ya kuwabeza
 
Great sinker at work. Ukiwa narrow minded kiasi hicho wanaume wengine watakuwa wanakutunzia mke wako!
 
Pamoja na umri wangu kuwa wa kawida lakini nimebahatika
kuviona na kuvitambua vipindi vyote vya u-rais na "ikulu" zake!
Kwa tathimni ya ngungu ikulu ya kipindi cha u-rais cha kikwete
is too accessible! Nina wasiwasi sana na accessibility hii, hasa
hii inayoendelea sasa kwa madai ya kujadiri mchakato wa ujio
Wa katiba mpya!

Inaonekana kwamba baada ya vyama vya siasa kumaliza zoezi
hili la "kupiga picha na Rais" sasa vitafutia vikundi vya wenye mahitaji
maalumu, NGO nk! Itakuwa ikulu kweli hii!

Kwanini hawa watu wasikutane na wasaidizi wako kwa maana ya
AG na Mawaziri husika? Au kuna usanii ndani ya mikutano?!

Binafsi naona aina mbili za usanii: kwanza baadhi ya wanaoenda
ikulu wanatafuta kusafisha nyota kwa kupiga picha na Rais; Pili
Rais naye anawapiga usanii kwa stahili hiyoyo, kahaww kdg, juice,
picha kwa wingi full kicheko! Baada ya hapo anawa-pet pet migongoni
imetoka!

Hebu tuangalie utkelezaji Wa mikutano iliyopita imezaa nini? Je
ni haya marekebisho yanayokuja bunge hili kwa kufuta "and" na kuweka "or"?

Mkapa aliwahi kuwaambia akina Mrema na wenzake kwamba
hawezi kukutana nao kwa kuwa aligundua hawana jipya ila
kupiga picha na Rais.

Hata Mbatia anakaribishwa Ikulu!!

Siyo kweli kabisa!!! Mwaka juzi wale wazee wa Afrika ya Mashariki iliyovunjika walipiga kambi mbele ya State House kwa nia ya kumuoina JK kuhusu madai yao. JK aligoma kuwaona na badala yake alituma FFU kuwatimua kwa maji ya kuwasha.

Kilichoshangaza zaidi ni kwamba kwa kipindi cha siku tatu zile, JK alikuwa hapiti geti ile ya kawaida walipokuwapo wale wazee - katika kuingia na kutoka, alikuwa anatumia zile geti nyingine za upande wa baharini ili tu kuwakwepa wazee wale.

Halafu unadiriki kusema Ikulu ya JK ni most accessible!! Hebu tema mate chini!!
 
@mtoa mada,IKULU C YA RAIS,pia unamuamini AG na KOMBANI?unles huwafuatilii kauli zao kuhusu katiba,kupitia media
 
Back
Top Bottom