Eti...eti..mwenge haukufika kileleni ml. K'njaro..kisa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti...eti..mwenge haukufika kileleni ml. K'njaro..kisa.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by EasyFit, Dec 24, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kutoelewana kati ya serikali na JWTZ kutokana na serikali kuvunja makubaliano ya awali kuwa jeshi la wananchi ndilo lishughulikie mipango yote ya kupandisha na kuzima mwenge miaka 50 ya uhuru. TBC nao (walisusa?). Tukio la mwenge kufikishwa katika kilele cha mlima Kilimanjaro lilipaswa kurushwa LIVE lakini hata hilo halikufanyika sababu wanazotoa zilitokana na kamera za kituo hicho kushindwa kufanya kazi vizuri katika miinuko ya juu. Hata hivyo, mmoja wa watangazaji wa TBC Sostehes Amas, alionekana kupitia kituo hicho akiripoti kutoka katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Hadi leo hakujatolewa hata picha moja ya mwenge ukiwa kileleni.

  Source: Mwananchi
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mazingaombwe yaendelea kama kawaida ya serikali yetu na viongozi kwenye inshu za kizalendo. Kama hawataki kuonyesha vitu vinavyoelezea nchi yetu! kwa nini wanang'ang'ania kufanya vitu nusu nusu?. Hivi ni vitu ambavyo viko kwenye uwezo wet hatuhitaji misaada, lakini ndo kwanza ufanisi zerooooooooooooo. Viongozi wakiwa waharifu wa mali za umma, hata wananchi hawawezi kujitolea kufanya kile kinachohitajika.
   
 3. D

  Derimto JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dada yangu yaani kati ya siku ambazo umeongea jambo la maana lenye mshiko kabisa wa kumalizia mwaka ni leo. Maana nilipanga nisichangie chochote mpaka mwaka uishe lakini leo umenikuna sana. Be Blessed my Sister.
   
 4. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,201
  Likes Received: 527
  Trophy Points: 280
 5. M

  Mbogo Junior Senior Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unatupotezea muda wa kazi. Mabadiliko muhimu.
   
 6. M

  Mgaza jm Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani kufika kwa mwenge kileleni kunabadilisha nini katika maisha ya mtanzania?
   
Loading...