Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unaposoma makubaliano haya kuna vitu viwili vya kuangalia; sehemu ya kwanza kuhusiana na feasibility study na pili kuhusiana na possible terms za mkataba wa makubaliano. Vizuri kuangalia terms...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
...Nadhani ipo haja sasa kwa wapanga-sera na au wataalamu wa kada ya elimu na taaluma kuketi na kufanya uamuzi mgumu juu ya sera ya elimu Tanzania. Elimu ya Tanzania inakwenda segemnege na...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Sheria ya Tanzania imeweka utaratibu wa kugoma katika Sheria za Kazi za Mwaka 2004. Sheria za Tanzania pia zimeweka wazi utaratibu wa wafanyakazi wanaotoa huduma muhimu (Essential services)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamanai hakuna kinachonisikitisha kwa CCM kuona inachagua viongozi wasiokuwa na tija na kuwaacha watu wenye hari na mori!nakuchagua watu waliostahili kuwa viongozi wa bendi za Taarabu Unakuta mtu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
BY THE GUARDIAN REPORTER 24th January 2012 Minister for Water, Housing, Energy and Minerals Ali Shamhuna Long-serving Isles Minister for Water, Housing, Energy and Minerals Ali Shamhuna came...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimekuwa sana nikifuatilia mijadala mbalimbali na mabishano ya vijana,wengi tumejikita kumtaka kiongozi fulani,(diwani,mbunge au Rais) Tumesahau tunataka nini tumejikita kuwa...
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Katika Wikileaks cabale 06DARESSALAAM1944 tunaona namna mfumo wa taifa letu wa uhamiaji unavyofanya kazi, mapungufu yake na uwezo wake na mpinang yake. Siju tumefikia wapi Tunano msisistizo na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kimsingi tumeshuhudia pilika pilika na mbwembwe nyingi pindi inapotokea uchaguzi mdogo, mambo haya yamekuwa yakienda pamoja na gharama kubwa za maandalizi miongoni mwa vyama vinavyogombea. Naamini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.)KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA, 2011 (Kanuni ya 86(6) ya...
10 Reactions
103 Replies
14K Views
Sina imani na JK, na vikao vyake anavyovifanya na Viongozi wa Chadema. Kwa maoni yangu, Kikwete anafanya vikao hivyo, kwa sababu kuu mbili. Kwanza, ni kuwadanganya "International Community" ili...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mgombea wa nafasi ya uwakilishi kwa tiketi ya chadema katika jimbo la Uzini Zanzibar anatarajiwa kurudisha fomu yake leo Tume ya Uchaguzi Zanzibar ili ateuliwe kukiwakilisha Chama hicho katika...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
By FaizaFoxy Kususa inkwisha? mlipoteza muda mrefu sana kwa siasa za kususa susa, naona mmejifunza kuwa kususa inatumika kuwa "disadvantage" kwenu. Nimekuwa najiuliza, hivi ukivamiwa na nchi...
17 Reactions
163 Replies
13K Views
Amekabidhiwa kadi ya ccm na makam wa rais Mohamed Ghalib Bilal. Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Hassan Mkope (kulia) aliyekuwa...
0 Reactions
96 Replies
8K Views
CHADEMA mkoa wa Arusha juzi ilizindua mradi wa maji uliogharimu 40mil, fedha kutoka kwa wananchi na CHADEMA. Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa, pamoja na...
5 Reactions
110 Replies
10K Views
Wana Jf. Kwa mawazo yangu naona muungano na katiba yake havikidhi matakwa,matarjio na mahitaji au mapendeleo ya pande zote za muungano. Kila upande kwa namna moja au nyingine unaona unadhulumiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani waungwana hebu fikiria hali halisi ya maisha ya leo ,,,,, kisha angalia migogoro ya viongozi wao kwa wao ,,,,, je unahisi yupi atakua bora japo hata tumpatie...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kifo cha mbunge wa Arumeru Mashariki Jeremia Sumari katika hali ambayo wananchi wa jimbo hilo hawakuitegemea serikali jimboni hapo wiki hii iliyokwisha wamekuwa bize kutengeneza barabara...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Tanzania is to introduce cash limits for people moving across its borders to fight money laundering and the financing of terrorism and crime. Photo/REUTERS Posted Sunday, January 22 2012 at...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Dalili si nzuri kwa CCM na jumuiya zake mfano Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amekaririwa na vyombo vya habari akiwashangaa wabunge wanawake wa viti maalum toka CCM kutotekeleza maazimio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesitisha mjadala wa muswada wa sheria mpya ya masilahi na mafao ya viongozi wa kisiasa baada ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuukataa muswada huo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom