Hivi CCM madaraka mnapeana kwa kuzingatia vigezo vipi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi CCM madaraka mnapeana kwa kuzingatia vigezo vipi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Jan 22, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Jamanai hakuna kinachonisikitisha kwa CCM kuona inachagua viongozi wasiokuwa na tija na kuwaacha watu wenye hari na mori!nakuchagua watu waliostahili kuwa viongozi wa bendi za Taarabu
  Unakuta mtu eti ni waziri kwa vipindi viwili mfululizo mpaka unajiuliza huyu kwa nini alichaguliwa!!
  Mfano:-
  1.................
  2Endeleza list!
   
 2. m

  maselef JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1. Ushikaji
  2. Kulipa fadhira
  3. Wake zetu ni marafiki
  4. Tunatoka mkoa mmoja
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Je wewe ni viongozi ganu unaona wana madaraka makubwa na hawakustahili kuwa nayo??
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wasira, Makinda, Komba, JK .........................na wewe endeleza
   
 5. M

  Mamatau Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe kama hujapata cheo kaa kimya usisafirie nyota za wenzio!
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa kaya!!!
   
 7. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Viongozi wanaoteuliwa hawachaguliwi na Wananchi. Kwa hivyo ni ndoto kudhani kuwa katika uteuzi wowote kwa yeyote aliye na mamlaka ya uteuzi atapata ushauri wa umma.Vigezo, Sifa ni mambo ya msingi.
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Makinda na Komba wamechaguliwa na wananchi
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  shaaban mlacha,deputy vice chancelor plannin,finance n academic UDOM....kisa kaoa sehemu moja na mkulu!
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Sofia Simba,Steven Wasira,Mkandara,Makinda,.......................
   
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ndio umbea uleule mnaoukataa wana CDM,kama huyu bwana anauhakika na akisemacho kwanini asitaje majina? anaweka ..... sielewi unamaanisha nini

  yaani wanaCDM sasa hivi mmekuwa ni walevi wa kashifa,hakuna jema kwenu,na ukitaka ugomvi nao basi lete baya kwa CDM ,hivi ni chama gani hapa duniani chenyewe huwa kinafanya mema tu hadi mwisho? hivi ndani ya CDM viongozi woote ni perfect?

  mimi sina chama ila muda mwingine huwa mna BORE kweli
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kuchaguliwa na wananchi hakuna maana kuwa wana tija; wengi hata huko kuchaguliwa ilibidi wabebwe tu mfano mzuri ni Shukuru Kawambwa!!
   
 13. H

  HByabatto jr Senior Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kigezo kingine kinachotumiwa kupeana vyeo ndani ya magamba ni RUSHWA YA NGONO. Hii inatumika kuwapa vyeo wanawake. Si mnajua JEY KEYI alivyo chief dunga dunga?
   
 14. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mawaziri karibia wote ni chaguo 'stupid' kabisa. Wenye kustahili ni Tibaijuka, Chami, Magufuli, Mwandosya, na wengine wachache sana. Wengine wote hawajapewa vyeo by merit bali kwa sababu alizotaja MASELEF: Ushikaji;Kulipa fadhira; Wake zetu ni marafiki;Tunatoka mkoa mmoja;

  Vinginevyo kama Takukuru na Usalama wakiamua kusimamia sheria, kuna mawaziri wengi sana ambao wana kesi za kujibu - Mfano Membe aeleze hela za ghadafi anazojenga kiwanda ca saruji kwao huko zilikuwa ni hela za nini...; pia Mkullo alifukuzwa na mkapa kwa kufilisi NPF ambayo ikapelekea kuvunjwa kabisa; ana mihela kwenye account ya off shore huko Mauritius, lakini mpaka leo waziri wa fedha; Peter Noni ameteuliwa kuwa CEO wa TIB, taasisi iliyoteuliwa na rais kupokea fedha za wezi wa EPA, huku Noni mwenyewe akiwa mmoja ya wezi hao; the list is long........................................
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Nikweli safari tunayo ila hata mimi nashindwa kuamini unakuta kiongozi hanalakusema kwa wananchi anabaki anatokwa na maneno yasiyohusu na mada!
   
 16. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kupitia hii thread mara mbili na nimeshindwa kuona ni wapi mleta thread aliposema yeye ni mwanaCDM hapo hapo wewe hata bila kuulizwa unadai huna chama! Hiyo peke yako inatueleza mengi kuhusu engmtolera kuliko mtoa mada na sana sana inakuumbua jinsi ulivyo na sifa kama hizo hizo anazozitaja Kakakiiza. Pole sana.
   
 17. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  tatizo si wao ni wanawapa kula.sasa wasile wao na familia zao?.nasisi tubaki mashabiki wao na vyama vyao.tutakuwa watazamaji tu
   
Loading...