Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Nachingwea ajiunga na CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Nachingwea ajiunga na CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jan 21, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Amekabidhiwa kadi ya ccm na makam wa rais Mohamed Ghalib Bilal.
  [​IMG]
  Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Hassan Mkope (kulia) aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Wilaya ya Nachingwea, aliyeamua kujiengua na kujiunga na CCM. Makamu ameanza ziara yake katika Mkoa wa Lindi jana januari 20.

  source:mjengwa na michuzi blogs
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,541
  Trophy Points: 280
  huyu anataka aandikwe kwenye magazeti tu huyu
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndio demokrasia
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ni sawa tu mwache aende akagange njaa .Mwana Chadema halisia hawezi danganyika alikuwa pandikizi tu huyu .All the best ukafisadi nawe .
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,187
  Likes Received: 4,541
  Trophy Points: 280
  Mwaka mbaya kwa Magwanda...
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,003
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  Nafarijika sana ninaposikia habari za mamluki kujiengua,CDM sio chama cha posho kama CCM,ni bora ameondoka akaungane na wazee wa madili ya unyonyaji.
   
 7. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 931
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Afadhali tuwapunguze hawa mafisadi ndani ya CHADEMA!
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Nilisikia huyu jamaa alifukuzwa chadema tangu mwaka jana mwezi Mei.Nadhani viongozi wa chadema watatupa taarifa rasmi,isipokuwa kwa uhakika huyu si mwanachama wa chadema
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Tusimlaumu, katumia haki yake ya uhuru wa kidemokrasia kuhamia ccm, huenda ameona ndipo anaweza kutimiza ndoto yake.

  Ninachosubiri ni kupata uthibitisho kama kweli alikuwa ni mwenyekiti, maana siku hizi kila anayeondoka chadema kwenda ccm anajitafutia cheo cha kuondokea.
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,331
  Likes Received: 3,592
  Trophy Points: 280
  Hilo tumbo ni ishara tosha kua alikua fisadi!!
  Aende tu bana!!
   
 11. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kula CCM, kulala CDM - By Prudence Karugendo!
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mwita
  Kama una contact na Mnyika muulize.Lakini nuna uhakika alishatimuliwa mwaka jana
   
 13. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  We mtu wa kusini na watu wa kaskazini wapi wapi bana
   
 14. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mhhhh kama shigongo.com
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mbowe yupo kwenye mazungumzo na JK kuunda coalition gvt.Ulaji!
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,548
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Acha atumie haki yake kidemokrasia but ni vyema CCM wajue kwamba bado sisi vijana wapiganaji tena wenye uwezo tupo chadema na 2tazidi kuendeleza harakati bila uwoga, keep it up wanacdm wote nd BRAVO CHADEMA.
   
 17. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Aliyerudisha ni huyu mwenye kikofia huyu kitambi ni DC
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Mizigo inazidi kujiengua CDM. Angechelewa kidogo angefukuzwa na chama. Heri amesepa mapema.
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Mdini jamvini
   
 20. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kula CCM, Kulala CHADEMA - By Prudence Karugendo!
   
Loading...