Perestroika na Glassnost ni muhimu kwa sasa kabla ya katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Perestroika na Glassnost ni muhimu kwa sasa kabla ya katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by montroll, Jan 24, 2012.

 1. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Wana Jf. Kwa mawazo yangu naona muungano na katiba yake havikidhi matakwa,matarjio na mahitaji au mapendeleo ya pande zote za muungano. Kila upande kwa namna moja au nyingine unaona unadhulumiwa au kuonewa.

  Na kibaya zaidi mjadala juu ya muungano umekuwa ukidhoofishwa kwa namna mbalimbali.

  Je si muhimu kwa sasa tufanye yale ya Ussr chini ya Gobachev?
  perestroika na Glassnost zitaondoa unafiki na kuzaa jamii/nchi iliyokubaliana kwa uwazi juu ya mambo ya msingi na jinsi ya kujitawala.

  Baada ya perestroika na Glassnost, kama ni muungano basi utakuwa wa dhati kweli na imara. Na kama itapelekea kuvunjika basi na iwe hivyo maana ndio wananchi watakuwa wameamua na hapana shaka tanganyika au zanzibar zitakuwa imara zaidi na umoja na uzalendo wa kweli.

  Katiba ifuate baada ya hapo.
  Tuanze na perestroika halafu glassnost.

  Ningekuwa rais ningefanya hivyo.

  Nawakilisha.
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  hembu tufafanulie wengine mkuu, huo ni mfumo gani? au nipe artical nijaribu kusoma hiyo kitu labda ntaelewa, sisi wengine wahandisi
   
 3. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45

  Perestroika asili yake ni Rusia na mwasisi wake alikuwa ni rais gobachev(naweza sahihishwa hapa).
  Perestrika=uhuru kamili usio na mipaka wa kujadili juu ya jambo au mfumo wowote, kuanzia bunge,posho,usalama wa taifa,utawala,ikulu, katiba,jeshi,muungano nk.nk.nk.nk.

  Glassnost ni uhuru wa kuamua kujitawala, mf uwe kwenye muungano au la.
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  asante kwa ufafanuzi, kulingana na ufafanuzi wako naona hata katiba yetu ya sasa ina maanisha hivyo thou utekelezaji wake umebaki mifukoni mwa wababe wachache, ili hilo ulilofafanua liweze kufanya kazi lazima nguvu ya umma ifanye kazi kwanza ili kila atakayeshika madaraka aweze kutekeleza hicho ulichoandika hapo kwakujua kuwa akipotoka kidogo nguvu ya umma inamhukumu.
   
 5. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Phewwwwww !!!!!!!!

  Prestroika na Glassnost zilitumika huko USSR. Na zilikuwa ni Top - Down approach. Mabadiliko ya sasa ya Tanzania yanasukumwa kwa kiasi fulani na watu wa chini. Inawezekana hii ni Bottom - up approach ambayo inalazimisha watawala kubadili sera zao bila ya wao kutaka. Hivyo hakuna sababu ya kubadili mkondo.
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Am with you on this. Vuguvugu lililopo linatokana na wananchi. Kwa kiasi fulani(kidogo) wananchi wameanza kutawala nchi yao.

  Angalia suala kama posho, the last time zimeongezwa binafsi hata sikujua, na wananchi hawakuongea as if walikuwa na maisha mazuri sana. Lakini mambo yamebadilika ryt now, wanasiasa wanalazimika kusikiliza wananchi hata wakati hawapendi wanayoyataka.

  I can not imagine ile kauli ya "mtakula hata nyasi" angeitoa leo hii ingekuwaje....

  Dynamics zimechange sana hapa TZ.
   
 7. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Then,if ihave understood u well the changes we are looking forward to are not agreed or wanted by JK and his gvment.

  Maana yake ni kwamba hatutapata tunachotaka kirahisi hivi, yaani serikali isiyotaka mabadiliko isimamie na ipange namna ya kupata mabadiliko.

  But we want changes, real changes.

  Katiba inasema wananchi ni top, serikali na akina JK ni chini ya wananchi.

  Wao sio top, ss ndio top.
  Lets take our position.

  Unajua rafiki? Serikali zimechukuwa nafasi ya u-top kwasababu wenye nayo hawajui kuitumia!

  Tatizo letu ni nn hasa?
  Kwa nn hivi? Yaani eti tuna buruzwa na watu tuliowaajiri?

  Eti mpaka waanze wao!

  Lets think big coz we are big n dhem are small.
  You are the top rafiki.
   
Loading...