Tanzania tunataka nini au tunamtaka nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tunataka nini au tunamtaka nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Jan 25, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu nimekuwa sana nikifuatilia mijadala mbalimbali na mabishano ya vijana,wengi tumejikita kumtaka kiongozi fulani,(diwani,mbunge au Rais)
  Tumesahau tunataka nini tumejikita kuwa tinamtaka nani,Leo ukiuliza 2015 uchaguzi uwe vipi majibu ya Haraka ni majina ya Watu,Dr SLAA,Lowassa,Membe,Wassira,Zitto,Mbowe nk..
  Hawa ni viumbe hai na wanaoweza badilika kulingana na wakati au madaraka tutakayowapa,
  Kwanini Mijadala isiwe tunataka nini kuliko tunamtaka nani?
  Hebu fikiria hapo ulipo una hali gani na unataka nini kufikia malengo yako na jamii kwa ujumla kisha ndo uangalie ilani ya nani inatamka wazi malengo yako kisha ujue unaona nani anakufaa..
  Baada ya kutafakari hebu Chagua uinataka nini au unamtaka nani?
  Nawasilisha...
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tuanze na tunataka nini
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe unaona waTanzania tunataka nini?
   
 4. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania hawataki mafisadi.
   
Loading...