Mgombea wa Nafasi ya uwakilishi kwa Chadema kurudisha fomu leo kwa Maandamano Makubwa

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Mgombea wa nafasi ya uwakilishi kwa tiketi ya chadema katika jimbo la Uzini Zanzibar anatarajiwa kurudisha fomu yake leo Tume ya Uchaguzi Zanzibar ili ateuliwe kukiwakilisha Chama hicho katika uchaguzi huo.

Zoezi hilo linatarajiwa kuanza majira ya saa 4 asubuhi ambapo Fuso la matangazo, magari, pikipiki na baiskeli zitamsindikiza mgombea huyo. Habari kutoka Zanzibar zinasema Makamanda maalum wa Chadema waliokuwa wametangulia Zanzibar wamefanikiwa kufungua matawi 20 katika Shehiya zote 13 yenye jumla ya wanachama 1236.

Mgombea huyo wa Chadema alishika nafasi ya pili katika uchaguzi wa mwaka 2010 akifuatiwa na mgombea wa CUF.
 
Naamini uchaguzi huu ndio utakuwa mazishi ya CUF iliyokufa huko Igunga na Kifo cha CCM iliyojeruhiwa vibaya sana huko Igunga na ambayo itazikwa rasmi huko Arumeru Mashariki miezi michache ijayo
 
Tunasubiri updates muda ukifika ucsau kutupia kitu cha photos big makamanda.
 
Utakuwa ukarasa mpya kwa demokrasia zenji...............kila la heri magwanda..............nothing can be changed unless faced and nothing ca be faced unless changed
 
Utakuwa ukarasa mpya kwa demokrasia zenji...............kila la heri magwanda..............nothing can be changed unless faced and nothing ca be faced unless changed

nimeipenda hii, lakini ungeondoa neno magwanda, matumiizi ya maneno 'magwanda, magamba' yanapunguza uzito wa hoja na kufanya the whole thing kuonekana kama utani utani tu....

Salute.
 
Kumbe kamanda alimaliza wa pili uchaguzi uliopita!mabadiliko ya kweli sasa yanaelekea Zanzibar!c.c.m hawana chao,wameshikwa pabaya kote bara na visiwani!kila la kheri wana Uzini
 
Nawatakia Makamanda wote wa zanzibar mshikamano wa hali ya juu kuanzia kampen kuhesabu kura nakutangaza mshndi kwan kwataarifa nilizozipata NEC kwa upand wa bara wanaangalia nguvu ya shinikizo iko upande upi ndo wanatangaza mshndi mf. Arusha walitaka kumtangaza batilda nguvu yauma ikawataka watangaze matokeo yakwel ambayo kamanda Lema alitangazwa mshndi. Tunataarifa pia Mbozi kwa ndg Zambi aliyekuwa mgombea wa CHADEMA alishnda ila makamanda walipoogopa polis Zambi akatangazwa mshndi HVYO MAKAMANDA zenj ushnd ni we2 tukishkamana peepooz
 
Aende Arfi,Zitto,wabunge viti maalum toka znz ndo wataeleweka lakini wakipeleka wale wachungaji watajikuta kunaenezwa siasa za Udini maana wa znz wanachelewa sana kuelewa..pia sehemu kubwa ya kampeni ifanywe na wa znz wenyewe akina sjui Waitara na Benson,Heche wao waende Arumeru
 
CDM ni chama cha kitaifa kinaimarika cku had cku,MUNGU awaangazie wazenji watambue nguvu ya umma.
 
Zanzibar ina wenyewe banaaa! Wacha CHADEMA wajihashue tu lakini ikifika siku hao wanaowambia "Ndiyo Mzee" watakuja kuwambia "Siyo Mzee", kama alivyofanywa Prof. J! Ushahidi wa hayo na wamuulize James Mbatia mwaka 2003.
 
Aende Arfi,Zitto,wabunge viti maalum toka znz ndo wataeleweka lakini wakipeleka wale wachungaji watajikuta kunaenezwa siasa za Udini maana wa znz wanachelewa sana kuelewa..pia sehemu kubwa ya kampeni ifanywe na wa znz wenyewe akina sjui Waitara na Benson,Heche wao waende Arumeru

huo ndo ubaguzi usiotakiwa.
 
wewe ndio mdini.....
 
Chadema wakishinda Uwakilishi jimbo la Uzini.

Tatembea uchi kutoka Posta mpaka Kimara Bonyokwa na kurudi.
 
huo ndo ubaguzi usiotakiwa.

Hizo ni mbinu zakivita sasa unaingia wanavyotaka wao unawabadilisha humohumo, unafikiri Zenji kichwakichwa CDM watakubalika. Kwa taarifa yako kumbadilisha mtu jifanye unamsapoti anavyotaka alafu unaleta zako kidizaini. Huoni kwenye mikusanyiko ya kidini mfano Kikristu Maustaadhi wanaanza Bwana Yesu asifiwe unafikiri wanapenda????
 
Back
Top Bottom