Sophia Simba Alia na Wabunge wa Viti Maalum wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sophia Simba Alia na Wabunge wa Viti Maalum wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lilombe, Jan 24, 2012.

 1. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dalili si nzuri kwa CCM na jumuiya zake mfano Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amekaririwa na vyombo vya habari akiwashangaa wabunge wanawake wa viti maalum toka CCM kutotekeleza maazimio waliojiwekea ya kuchangia sh. 100,000/= kila mwezi kuimarisha uchumi wa UWT. Ama kweli CCM imechokwa na wanachama wao, CDM watu wanachangia kwa hiari, wakati CCM kwa maguvu, Je watafika CCM???
   
 2. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila watu wanachangia kwa kulazimishwa si chadema si ccm wala nccr!
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,726
  Likes Received: 1,633
  Trophy Points: 280
  sio kuchokwa tu yaani kwishinei, wametumia nguvu nyingi kuonga kupata kura sasa hali mbaya kiuchumi na kisiasa.
  Nawaona pale vijana kinondoni wakilalamikiana , wengine wameanza kuhuza magari hasa wale waliokopa kufanyia kampaini. CCM msipoondokana na rushwa mtakulana nyinyi kwa nyinyi.
   
Loading...