Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MegaPyne
Kwa habari zilizonifikia sasa hivyi zinasema Mkurugenzi wa Tanesco Bw. Idrissa amejizulu kama mkurugenzi mkuu wa tanesco. Barua yake imetumwa leo jioni
0 Reactions
140 Replies
19K Views
Baadhi ya Wana JF waliokutana katika Ibada ya Kumwombea Marehemu Mh. Regia Mtema Kanisa katoliki Segerea. Wana JF hawa wanapendekeza kuwa ipangwe siku maalumu hivi karibuni ambayo wana JF na...
27 Reactions
267 Replies
18K Views
Mimi naona chokochoko za Zanzibar haziishi........kwa nini tusiujadili huu muungano kwa kura za maoni? MIMI NAONA NI WAKUBWA WETU TUU wanautaka huu kuungano.......sasa tuanzia hapa JF kuujadili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati serikali inadai ina Nakisi kubwa ya wataalamu wa kada ya Afya na kuahidi kuongeza Idadi ya Vyuo Vidogo na Vikubwa ili kukabiliana na nakisi hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
MGOMBEA wa kiti cha uwakilishi wa Jimbo la Uzini, mjini Zanzibar kupitia tiketi Chadema, Ali Mbaruku,amewasilisha pingamizi akipinga kuteuliwa kwa Mohammed Raza wa CCM, kuwania nafasi hiyo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Moja ya sifa kubwa ya chama chochcote makini cha siasa ni uwezo wake katika kufanya maamuzi sahihi kama ambavyo chama hiki kimekuwa kikifanya kwa nyakati zote. Kumekuwa na suala la kifo cha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Copied and pasted here!! "Katika nchi yetu kitu kinachotushinda ni kufanyia kazi Vipaumbele! Tukiweza hili kila kitu kitakuwa sawa. HiviDaraja la Kigamboni lenye thamani ya shilingilioni 214...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Kikwete amefungua milango Evarist Chahali Rais Kikwete msibani kwa Marehemu Mbunge Regia KWA mara ya pili ndani ya takriban kipindi cha wiki moja, Tanzania imepoteza wabunge wawili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
This is from Mh. Zitto Kabwe Zitto kwenye mtandao wake wa Twitter… Just informed that the PM had a meeting with Editors today and confirmed a new rate for sitting allowance to MPs ie...
3 Reactions
96 Replies
8K Views
Umeshawahi kusikiliza wimbo wa Prof. J 'Ndiyo Mzee'. Aliandika mashairi yake mazuri kama-Yeye ni mteule aliyetumwa na Mungukuikomboa TZ,atafungua account kwa kila mtoto mchanga,mabaamaid...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
• IKO NJE KWENYE MATENGENEZO, SERIKALI YAKWAMA KUILIPIA na Mwandishi wetu UKATA unaoikabili serikali, umesababisha kukwama kuilipia ndege maalumu ya Rais, inayofanyiwa matengenezo nje...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
KIKWETE TUMEKUKOSEA NINI? Josephat Isango HUENDA kuna mambo tumemkosea Rais Jakaya Kikwete ndiyo maana analipa kisasi. Haiwezekani Watanzania mkakataa ukweli huu, hata kama mkikataa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilikuwa nimepata nafasi ya kuzungumza na jamaa zangu kadhaa ambao kwa kweli wamefanikiwa katika sekta binafsi hapo nyumbani. Wengi wa hawa jamaa walikuwa serikalini na baadaye wakaenda uraiani...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Muungano wa Tanzania sasa umekuwa dhaifu zaidiRais Kikwete ameficha wananchi ukweli MUUNGANO wa Tanzania siyo tena kitu kimoja, hasa baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kufanya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
IMEKAEJE HIYO? ma Doctor wamegoma, watz wanahaha kunusuru uhai jk mbona haonyeshi kujari?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na Jacob Daffi - Imechapwa 18 January 2012 Lowassa tayari ashika mwaliko wa 2013 Sitta, Membe wapigana vikumbio Mbowe: Mimi hasitaki urais MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kutaka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu wana-JF Nimejaribu kuskiiza hotuba ya Bwana Jussa (MB wa jimbo la Mji Mkongwe-Visiwani) na katika yoote aliyosema nimegundua kuna mapungufu yafuatayo haswa kwenye swala la mafuta! Sheria za...
6 Reactions
99 Replies
8K Views
Mgomo wa madaktari umeshika kasi kila kona ya nchi hususan katika hospitali kubwa kubwa hapa nchini na zile za mokoa. Hali hii inaelezwa ni katika kutekeleza lengo la kuandamana ambalo serikali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom