Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana nilisikitika sana kumsikia kwenye redio Mh. Samuel Sitta akipinga wawekezaji wanaotaka kuwekeza katika kilimo cha zao la janthropa. Zao hili linatumika kutengeza diesel ya mimea. Kuna...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 18 January 2012 TANESCO sasa hoi kifedha UWEZO wa Shirika la Taifa la Umeme (TANESCO), kukidhi mahitaji ya nishati hiyo ni mdogo na nchi inaweza kuingia gizani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kitaendelea kuwasiliana na Rais Jakaya Kikwete na serikali kufanya mashauriano ili kuhakikisha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011 inafanyiwa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Closed
Huu sio muda wa kampeni bali ni wasaa wa kukijenga chama, ama niseme huu ni wakati wa kueneza na kuhibiri elimu ya uraia ili kila mtanzania kwanza aelewe wajibu wake lakini pia mageuzi ya kisiasa...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
:embarassed2:Je kati ya Lowassa na Pinda yupi ni mtendaji mzuri wa kushughulikia matatizo ya wananchi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania kwa muda wa miaka zaidi ya ishirini baada ya uhuru walielewa kuwa uongozi wao ulitokana na wao wenyewe. Viongozi walikuwa ni sehemu yao kwa kila jambo. Kwa mfano; watoto wote walisoma...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
...Baada ya kutokea msiba wa mum Regia nilipatwa na mshituko mkubwa,na nilipoingia kwenye threads zilizokuwa zikizungumzia habari za kifo chake niliona sura ya upendo na mshikamano toka kwa...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
wanabodi, imekuwa kama fasheni sasa kwa viongozi wa vyama vya upinzani chini kukutana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu ya Dar es Salaam. Wanaomba appointment Ikulu, wakisharuhusiwa wanakwenda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hatutaki kuletewa raisi kwa kuzingatia jinsia Tunataka raisi mwenye uwezo. Tumeletewa SPika wa jinsia, sote tumeona udhaifu wake. Tunataka viongozi waadilifu, wenye uwezo na wenye dhamira ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu kuna tetesi kuwa katibu mkuu wizara ya afya ameitwa ikulu.ingawa vyombo vingi vya habari vimesusia kutoa habari za mgomo wa madaktari lakini inaelekea hali inaendelea kuwa mbaya.
1 Reactions
93 Replies
11K Views
TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAAMUZI YA KAMATI KUU Taarifa ifuatayo inatolewa kwa umma kuhusu Maamuzi ya Mkutano wa Kawaida wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
9 Reactions
50 Replies
5K Views
wakuu heshima kwenu sana. taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya. mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.
1 Reactions
184 Replies
18K Views
Waziri wa Maji, Makaazi, Nishati na Ardhi, Ali Juma Shamhuna yupo katika shindikizo kubwa la wajumbe wa baraza la wawakilishi wakimtaka aachie ngazi kutokana na kuchukua uamuzi wake binafsi juu ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Na Maggid Mjengwa, Ndugu zangu, Juzi hapa nilisiamama kijiji cha Ifupira kule Mufindi. Nilimpa lifti mama aliyekuwa akitoka kwenye kazi ya kibarua cha kuvuna chai kwenye moja ya mashamba ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nataka niwepe ushauri wanaccm wenzangu. Kuna mambo mengi sana ya kipuuzi ambayo yanaendelea kufanywa na serikali yetu kwa sasa. Mambo haya yatatufanya tukose kura mwaka 2015 hasa sehemu zile...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi hii ya serikali nzima kuhamia kwenye mazishi ya wabunge imekaaje?? Personally nashindwa kuelewa kwa nini viongozi wote wakuu wa selikali wanaacha kazi na kutumia rasrimali zetu kuhudhuria...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Logo sina noma, ukinisingizia wanionea. Mimi ni mtoto wa mama, yule mama ainea. Jimbo solwa inauma, mafisadi wamelipotezea. Wananchi wanaumia, lazima niwakomboe. ninapenda kugombea ubunge...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mgonjwa Silas Tipugi (anayenyweshwa uji), akihudumiwa na ndugu zake wakati akisubiri kufanyiwa upasuaji katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) jijini Dar es Salaam jana.Tipugi, alivunjika kiuno...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamani watz wenzangu mnaolipenda taifa hili na kulitakia mema,nilikuwa najaribu kuangalia kauli hii ya baba wa taifa nikashindwa kupata jibu na kichwani yakaja maswali kibao. naomba mnisaidie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sitaki kuamini kuwa wagonjwa wanateseka muhimbili, na ocean road kwa ajili ya mgomo wa madaktari. Sitaki kuamini kuwa serikali imeshindwa kuwatekelezea mahtaji yao. Suala la posho kwa madaktari...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom