Uchaguzi mkuu 2015, je nini kitatokea Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mkuu 2015, je nini kitatokea Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by miku, Jan 24, 2012.

 1. miku

  miku Senior Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Jamani waungwana hebu fikiria hali halisi ya maisha ya leo ,,,,, kisha angalia migogoro ya viongozi wao kwa wao ,,,,, je unahisi yupi atakua bora japo hata tumpatie uongozi wa kuibeba nchi yetu kwa muda huo wa miaka mi tano ??? kweli inauma saaaaana kuiona serikali haijutii kupoteza sifa yake kabisa kwa watu wake hasa watanzania wenye nia ya dhati kabisa ya kuikomboa nchi yaoooo. jamani ni heri tuka angalia kwa makini nia nani wa kumpa tena nchi hii kwa miaka japo mi5 ili tuone nae atafanya nini kwetu ???/
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Edward Lowassa. Ni mchapa kazi, anajua kuwawajibisha watumishi wa umma wazembe, ana creativity ktk uongozi, anajua kutumia fursa zinazopatikana, ana experience, amedeliver mambo mengi sana positive kwa jamii, etc. For more information waulize watu wa kanda ya ziwa watakuambia.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa nini unauliza RANGI YA MKAA?

  Hili swali tukalijibu mara ngapi humu. Tanzania bila Katiba Mpya ya Wananchi na Tume Huru ya Uchaguzi ni sawa na O'Campo na kesi mpya ICC zinazosubiri taifa hili kule Mahakama ya Kimataifa Uholanzi ifikapo 2016 kwa hisani ya Chama Cha Mapinduzi na mtindo wake sugu wa uchakachuaji katika kila uchaguzi.

  Yeyote anayeendelea kukipuuza CHADEMA na maoni yetu kupitia chama hiki ndiye hasa atakayekua mwaandaaji wa hiyo 'karamu ya 2016' kutokana tu na kiburi, ukaidi na ubinafsi wao.


  Hata hivyo, napenda nikuelekeze kwamba majibu yote ya msingi ya swali lako alishayaandika kiundani zaidi mpiganaji Maggid Mjengwa humu tangu huko nyuma kiundani zaidi. Na hivi sasa ni kwamba bahari linaonekana kutulia kidogo huku wengi wanadhani yamekwisha; waache walale usingizi wa pono hapo watashangaa wenyewe na roho zao wakifanyia mzaha mambo haya nyeti kitaifa.

  Swali la pili?


   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Kama unamuona Lowassa ni kichwa sana basi mmpe na Familia yako aiongoeze upate unafuu wa maisha!

   
 5. L

  Luiz JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  toa utumbo wako hapa, kama mchapa kaz alishndwa vp kututoa ktk mgogoro wa rchmond, wiz wa pesa zote alizoiba na kund lake ndo hzo anasambaza makanisan, kiukwel mkimchagua lowasa bora kutengeneza kund la boko haram tz
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Crap!Crapx1000
   
 7. S

  STIDE JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yaani japo upo Jf bado tu hujaamka!!? Swali gani hili unauliza!!? Bado hujaona wa kubadili taswira ya nchi!!?
  Amka mkuu, soma alama za nyakati!! Acha kusuasua karibisha mabadiriko, kunja ngumi alafu nyoosha vidole viwili, ISHARA YA UKOMBOZI!!!!


  "amani"
   
 8. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ndo maana lilipotokea dili la richmond akachangamka fasta?
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,751
  Likes Received: 4,968
  Trophy Points: 280
  ..kwanza kutakuwa na serikali nne.

  ..CCM watashinda Uraisi wa Muungano na Unguja.

  ..CDM watashinda Uraisi wa Tanganyika.

  ..CUF watashinda Uraisi wa Pemba.
   
Loading...