MOI hali tete kwa wagonjwa

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Mgonjwa.jpg

Mgonjwa Silas Tipugi (anayenyweshwa uji), akihudumiwa na ndugu zake wakati akisubiri kufanyiwa upasuaji katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) jijini Dar es Salaam jana.Tipugi, alivunjika kiuno katika ajali ya gari.Kumekuwa na huduma isiyoridhisha MOI kutokana na mgomo wa madaktari wakishinikiza maslahi zaidi.(PICHA:MOSHI LUSONZO)
 
serikali ipo kazini kutafuta hela ya kulipa mishahara ya January - suala la madaktari na posho zao ni pending kwa sasa. Kuhusu wagonjwa wananchi muwe na subra tunatafuta suluhisho la kudumu.
 
mimi nashangaa sana serikali hii inashindwa vp kukaa na madaktari wakamaliza haya mambo kwa amani,
nchi mnayoisifia kwa amani ndo hiii inashindwa kukaa na kuongea. HII NCHI SI YA AMANI ILA NI YA WATU WAOGA!
 
serikali ipo kazini kutafuta hela ya kulipa mishahara ya January - suala la madaktari na posho zao ni pending kwa sasa. Kuhusu wagonjwa wananchi muwe na subra tunatafuta suluhisho la kudumu.

tatizo serikari yenu inafiikiri kila kundi la wafanyakazi ni walimu....nyoooo!! hiii ngoma nzito, madaktari???? mmewaonea walimu na wastaafu wa africa mashariki mpaka basi

na sasa tunawasii wafanyakazi wa viwanja vyote vya ndege kugoma kutokurusha ndege nje ili hata nyie viongozi mkiumwa tufe wote hapa hapa mpaka kieleweke....
 
serikali ipo kazini kutafuta hela ya kulipa mishahara ya January - suala la madaktari na posho zao ni pending kwa sasa. Kuhusu wagonjwa wananchi muwe na subra tunatafuta suluhisho la kudumu.

In red, na magonjwa yawe na subira au wapelekeni India wakatibiwe
 
In red, na magonjwa yawe na subira au wapelekeni India wakatibiwe
kama nilivyosema, mwenye uwezo wa kupeleka mgonjwa wake india anaweza kufanya hivyo - kwa asiyeweza basi asubiri wakati tunaandaa mchakato wa kuandaa mazungumzo na hawa madaktari. Poleni wananchi lakini tuvumiliane suala hili kama nilivyosema mwazo tumeshaliingiza kwenye mchakato.
 
Wanajf
Hilo suluhisho la kudumu,litapatikana kwa hali halisi ya nchi hii?.mi naona ingefaa kuitwa suluhisho la dharura!
 
kama nilivyosema, mwenye uwezo wa kupeleka mgonjwa wake india anaweza kufanya hivyo - kwa asiyeweza basi asubiri wakati tunaandaa mchakato wa kuandaa mazungumzo na hawa madaktari. Poleni wananchi lakini tuvumiliane suala hili kama nilivyosema mwazo tumeshaliingiza kwenye mchakato.
Mchakato I like the word!! linatumiwa na mafisadi na wasio serious!!
 
Kama udaktari ni taasisi basi ni taasisi muhimu sana. serikali inatakiwa ikae chini na kumaliza tofauti na madaktari kwa manufaa ya wagonjwa na wananchi!
 
Muongo manesi hawajagoma
Hivi zinakutosha kweli? Tafadhari usitaftie watu ban kwasababu ya ulimbukeni wako wa kuparamia Jf!!
Elewa kwanza kinachoongelewa, sio utunishe tu domo kucoment upuuzi!! Ndugu zetu wanahangaika huduma hakuna ww unaleta ushabiki!!? NYAMBAFU!!!!

"amani"
 
hivi wenye haki nchii ni madaktari tuuu au mbona polisi wapambana na majambazi watu hatari ,lakini mshahra laki na nusu ,mbona hawagomiii?.hapo ni uzalendo tu haupo kwa hao watu wa afya .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom