Msaada wa kuwatoa mafisadi jimbo la Solwa 2015

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Logo sina noma, ukinisingizia wanionea.
Mimi ni mtoto wa mama, yule mama ainea.
Jimbo solwa inauma, mafisadi wamelipotezea.
Wananchi wanaumia, lazima niwakomboe.

ninapenda kugombea ubunge, 2015 jimboni solwa.
sitaki umbea, shinyanga nitaikombowa.
Ng'o si CCM mgombea, nitaingia chadema ili kukombolewa
Wanachi wanaumia, lazima niwakomboe.

Kuna mwarabu wa kule, tena darasa la nne.
Hajaizamia shule, hawezi saidia wengine.
nimepitia shule, siyo kama Jumanne.
Wanachi wanaumia, lazima niwakomboe.

Nahitaji maelekezo, nitafanyaje kwa hili.
ili nianze mapendekezo, wanachi wasiwe waswahili.
DR Slaa nipe maelekezo, najua jamvini unawasili.
Kuna ufisadi solwa, nielekezeni nigombee.
 
du.......
mpaka sasa hivi umelifanyia nini jimbo lako? au bado underground

Ukweli sijulikani, na hata chochote sijatoa.
Uzuri hawanikani, kwa CDM hawatanitoa.
Lazima nitashika usukani, kugombea ikitokea.
Lazima nimtoe mwarabu, nianzishe miradi ya maendeleo.
 
safi saana, huo ni mkakati wa BAVICHA Mkoa wa shinyanga wa 2011-2015 nadhan wameazimia hivyo ktk kikao cha tarehe 02.april 2011, nakushauli kama una nia ya dhati utafanikiwa na utoe ushirikiano wa kutosha ili wakupe mikakati sasa.
 
asikutishe mtu, kama una dhamira ya dhati utafanikiwa anza kutoa elimu ya uraia kwa wananchi wajitambue pamoja na haki zao na unadhamilia kuwafanyia nin kt nyanja zote kimaendeleo.
 
Wewe ni nani kwasasa,tafakuru kabla kutenda
mawazo yako makini,jambo lahitaji muda
ushawishi ni wako pekee,au umedandia mada
angalia kwa makini,uamuzi wahitaji muda.
 
ww una upeo mfinyu siasa haiko hivyo, yeye si ameomba ushaur atachagua mwenyewe, ina hitaj mda gan mda ndio huu kipind cha kugawa pesa kilishapitwa wakat kama na una nia utajijua.
 
Nitafurahi nikiwaona, na hasa ukinipa contact.
sitaficha kuchuana, lazima tuwe na content
 
ww una upeo mfinyu siasa haiko hivyo, yeye si ameomba ushaur atachagua mwenyewe, ina hitaj mda gan mda ndio huu kipind cha kugawa pesa kilishapitwa wakat kama na una nia utajijua.

Kazi ipo lazima kieleweke!
 
Wewe ni nani kwasasa,tafakuru kabla kutenda
mawazo yako makini,jambo lahitaji muda
ushawishi ni wako pekee,au umedandia mada
angalia kwa makini,uamuzi wahitaji muda.

Mimi ni mzaliwa, solwa jimboni kwetu.
Kazi yangu yajitambulisha, nusu ya jimbo wanifahamu.
Wakati ndio huu, muda gani unahitajika?
Niongezee nguvu, wala usinifukuze mbali.
 
asikutishe mtu, kama una dhamira ya dhati utafanikiwa anza kutoa elimu ya uraia kwa wananchi wajitambue pamoja na haki zao na unadhamilia kuwafanyia nin kt nyanja zote kimaendeleo.

Hoja yako ni nzito, moyoni imeingia.
Vikao nitaanza, semina nitazifanya.
nitawatazamisha mbele, tena wataziona.
Ukweli utafichuka, lazima tushinde
 
asikudanganye yeyote unavyokiria ww na ushar unaopewa uwe unaupokea na kuupima kwa makin na mazur uyafanyie kaz ujue uko vitan na vita vitaisha pind wananchi wako wakikupa iman ya kuwatumikia katika dhamira zako.
 
Na Mungu anisaidie ndoto zangu zimeanza, nilikuwa na plan
sasa zimekuwa action, ninaimani tutakuwa pamoja
kwasababu nawewe ni CDM, wanachi wa Solwa hawana noma
Wengi walinieleza, wamechoshwa na chama cha magamba
 
Wewe ni nani kwasasa,tafakuru kabla kutenda
mawazo yako makini,jambo lahitaji muda
ushawishi ni wako pekee,au umedandia mada
angalia kwa makini,uamuzi wahitaji muda.

pumbav ww naona una mawazo mgando kama ya viongoz wako ccm kila kukicha wanawaza kuwanyonya wananchi na kuendesha proganda za kijinga na zisizo na tija.
 
Back
Top Bottom