Katibu mkuu Wizara ya Afya aitwa Ikulu

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
wakuu kuna tetesi kuwa katibu mkuu wizara ya afya ameitwa ikulu.ingawa vyombo vingi vya habari vimesusia kutoa habari za mgomo wa madaktari lakini inaelekea hali inaendelea kuwa mbaya.
 
Tunaomba kaka uendelee kufuatilia habari hizo ili kutujuza zaidi zilizo sahihi.
 
Hivyo vyombo vya habari vigome tu lakini chamoto wananchi watakipata na kuwahadithia tu wenzao wao waitane tu sisitunataka madai yetu yatekelezwe wakuu.
 
Komaeni tu vijana Sekta ya afya inadharauriwa sana, nakumbuka miaka ya 1992, Ulianzishwa mugomo na wauuguzi baada ya mkutano mrefu pale Mwembeni mbele ya jengo Kibasila, vitisho vikaanza wauguzi wakakomaa, Ma-intern wakaunga mkono, Ma-resident na Ma-specialist wakafuatia, Maprofesa, (Wakabaki wakuu wa Idara wauguzi na Madaktari) Uliendelea kwa wiki nzima hali ikawa mbaya sana sana wagonjwa wakanyenyuka na urinals, ma pop, wheel chair wakaandamana kwenda Ikulu kumuomba Raisi Mwinyi awape hao wafanyakazi wa Afya wanachotaka ndio vitu kama sabuticle leave zikaanza, mikopo ya magari, fungu likaongezwa kwenye vifaa vya kutendea kazi, mortuary ikaboreshwa kwani ilikuwa inatoka funza,walimu vyuo vyote pale Muhimbili wakaboreshewa maeneo ya utendaji.

La muhimu muwe pamoja na muwe na lengo moja
 
Magamba bwana,yaani mnapima upepo hata kwenye uhai wa binadamu?!Kwanini aitwe ikulu leo wakati mgogoro una zaidi ya wiki sasa!!???
 
Wao waitane ikulu,wapige story wanazojua jambo la msingi ni kutoa majibu sahihi!!Wenye kiu ya haki tunazitafuta haki zetu wenyewe na wagonjwa tunaowahudumia.Inshallah tutafanikiwa.
 
Wao waitane ikulu,wapige story wanazojua jambo la msingi ni kutoa majibu sahihi!!Wenye kiu ya haki tunazitafuta haki zetu wenyewe na wagonjwa tunaowahudumia.Inshallah tutafanikiwa.

Amen,na Mungu awe pamoja nanyi maana mnachokidai ni haki yenu.Kama serikali inajua madhara ya mgomo wenu ni mabaya basi na waepushe hayo madhara kwa kuwalipa haki zenu mapema ili kuepusha madhara makubwa,vinginevyo nawaunga mkono katika harakati zenu.
 
Very good vilaza leaders. Ndo tatizo la kuchagua rahis badala ya rais.
 
Back
Top Bottom