Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jan 24, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wakuu heshima kwenu sana.
  taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.

  mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  naskia ni diwani huko wilayani karatu
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe unataarifa za uhakika halafu unaombe ssis tukupe cv yake?
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli mpe hongera.
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Pigia jibu msitari.
   
 7. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Toka huko umejiunga jana unakuja na habari ambayo tayari ishatolewa ufafanuzi.

  Na wewe nawe hamna kitu! kichwani kama avatar yako yenye nywele za kisogoni.
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Nasikia dada huyu aliwahi kusababisha ugomvi wa kindoa na aliyekuwa mke wa zamani wa****** ambaye hivi sasa ni mbunge wa viti maalum, Rose Kamili.
   
 9. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Kweli Kufa Kufaana.
   
 10. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wao waliomteua wanalidhika na CV yake sasa wewe ya nini?Kwa hiyo wewe haumini waliomchagua?
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280

  Kwa nini haukuuliza toka hicho chanzo chako cha uhakika kikupe cv ya huyo mtu?
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Au Ndo namna ya kujihakikishia kuwa makoloni yanakuwa karibu mda wote
   
 13. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  dk slaa atakuwa ana cv yake coz alipokuwa mbunge wa krt kpnd kile alikuwa akiishi pale kwao,dingi yake na cecilia ni swahiba a dr slaa!wenye cv yake atupe!
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wasifu wake mojwapo ni ukaribu wake usio wa kawaida kati yake na aliyekuwa mgombea urais aliyeshindwa na kusema kura zake zimechakachuliwa
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mkuu mimi nimetoa kile nilichonacho kama nawe una cha kutuongezea si vibaya wana JF tukamfahamu vizuri
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  vyeo vya marafiki na undugu kumbe hata chadema viko maana tunaambiwa na kuaminishwa kuwa ni Jk tu ndiye anachagua watu wake wa karibu
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Katika vyama vya siasa hapa nchini suala la fairness ni kitu cha muhimu sana ikiwa ni pamoja na nafasi za uteuzi.

  Ni vizuri sana kwa vyama hivi vinavyojiimarisha viwe vinaepuka kasoro ndogo ndogo kama hizi ambazo tunazilalamikia kwenye magamba.
   
 18. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  sheria za uchaguzi na uteuzi wa wabunge wa viti maalum unazifahamu? waombe wajf hapa watakupa nadhani utaridhika. Kwa kifupi tume ya uchaguzi ndiyo inapendekeza jina , linapelekwa ktk chama husika kupewa baraka.
   
 19. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mhh jf ni zaid ya habar
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wao waliomchagua wanafuata Cv iliyoandikwa tunahitaji CV ambayo haijaandikwa na inatoka kwa watu wanaomfahamu
   
Loading...