Madaktari wamekutana na waandishi wa habari muda si mrefu na kutoa kauli ya kukaidi amri ya Waziri Mkuu juu ya wao kurejea makazini kesho.
Dr. Stephen Ulimboka, mwenyekiti wa jumuiya ya...
Baada ya Dr kigwangala kusimama bega kwa bega na wanafani wenzake tunamuomba mbunge mwingine atuongoze wananchi siku ya ijumaa kulaani posho na uchafu wote wa serikali katika maandamano.
Nakumbuka Bw, Nape alikwenda kwenye Kituo cha redio cha Clouds wiki chache zilizopita, na akasema posho ya wabunge inayoongezeka sio agenda ya CCM wala hakubaliani nayo. Natumaini alikuwa anaongea...
Ni dhaihiri kuwa madaktari sasa watakuwa wanamkumbuka sana Waziri Mkuu aliyaachia ngazi 2008 kutoka na majibu aliyowapa Pinda. Ingawa madaktari wengi kipindi kile watakuwa walifurahi Lowassa...
Akizungumza na wapiga kura wake wa Mtaa wa Mpakani katika Kata ya Kwembe Jimbo la Ubungo siku ya Jumamosi tar 28 Jan 2012 Mhe John Mnyika aliulizwa swali kuhusu kitendo cha wabunge kudai posho...
Suala la Wabunge na posho ya 330,000/= kwa siku kupitishwa na Rais, na huku Waziri Mkuu akiwaamuru madaktari warudi kazini mara moja akiwatishia kuwafukuza kazi wakikaidi ni kwa hasara ya...
Leo nimechoma moto kadi yangu ya CCM...................inatosha......! Wabungo meno yote nje na 330,000 kwa siku, wakati wananchi hawana daktari wala dawa wanakufa..........! jamani.......!! na...
Kwa muda mrefu sijamsikia Waziri wetu Mkuu Mheshimiwa Pinda akihamasisha Masuala ya Utendaji serikalini kama Mtendaji mkuu wa serikali hadi Madaktari walipogoma akajitokeza hadharani. Je, alikuwa...
Wanajamii,
Katika hali isiyo ya kawaida baada ya Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bw.James Mbatia na wenzake kumaliza mazungumzo Ikulu hivi majuzi, habari za uchunguzi zinasema ya kuwa, mojawapo ya...
Madaktari wanadhalilisha chama tawala na kukifanya kionekane hakifanyi na kutekeleza majukumu yake hivyo napendekeza wote wafukuzwe CCM na CUF na hatuhitaji kula zao kama zile za wafanyakazi...
Mgomo wa madaktari unaondelea hasa jiji dar umesababisha madhara haswa kwa wale ambao wanaumwa.Kutokana na huu mgomo mkurugenzi wa uenezi wa cdm ametoa msimamo wa chama chao,tunakuomba nawe utoe...
Kuna wakati binadamu akiambiwa ukweli huwa hakubali kama unapingana na maslahi yake!
Nina wasiwasi huenda moto walioanzisha madaktari ukaonekana kama ni madai yasiyozingatia hali halisi ya...
January 28 2012
Na Grace Ndossa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imesema itatoa uamuzi wa pingamizi lililowasilishwa na Kampuni ya Dowans la kuitaka mahakama hiyo isiwape Tanesco kibali cha...
Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga...
Katibu Mkuu wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Rodrick Kabangila, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu suala la maslahi kwa madaktari na kuitaka Serikali...
Wakati sakata la mgomo wa madaktari likipamba moto tunaweza kuwa na orodha ya viongozi wa Kitanzania waliotibiwa kwenye hospitali za nje ya nchi kwa gharama za walipa kodi? Pia tunaweza kuweka...
Hivi ni kweli maendeleo ya nchi na wananchi wake hutegemea siasa za nchi husika Je ni kweli ama ndiyo janja ya kutaka kutuibia?
KITU KINGINE KWANINI WANASIASA HUPENDA KUJIKOSHA KWA WANANCHI PINDI...
Wakuu nimeona videos za JK anaongea kwenye Forum .Kwanza Brown hakumtambulisha kwa staha sana kama alivyo fanya kwa Zuma na Odinga .Najua mtabisha lakini kuna ushahidi wa jinsi alivyo mtambulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.