Madaktari wafukuzwe CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wafukuzwe CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mess, Jan 31, 2012.

 1. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Madaktari wanadhalilisha chama tawala na kukifanya kionekane hakifanyi na kutekeleza majukumu yake hivyo napendekeza wote wafukuzwe CCM na CUF na hatuhitaji kula zao kama zile za wafanyakazi tulizozikataa na tukashinda. Kushinda ni wajibu, changamoto hazikosekani.
   
 2. U

  UNIQUE Senior Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daktari gani anaweza kuwa ccm halafu akapass kuwa daktari! Hakuna hata mmoja. Mitoto ya waccm iko bot, tra, voda, celtel na ubarozini. Watoto wa wakulima ndio wakutibu wakulima wenzao. Wenyewe mafua india
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Anzeni na Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
   
 4. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kuna neno hapo

   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sio tu kuwadhalilisha bali wawavue na nguo kabisa ili mkibakia uchi mjue wajibu wenu kwenye madai yao.
   
Loading...