wabunge wanasherehekea, wananchi wanakufa, wataalu hawadhamaniwi!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge wanasherehekea, wananchi wanakufa, wataalu hawadhamaniwi!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jan 31, 2012.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Leo nimechoma moto kadi yangu ya CCM...................inatosha......! Wabungo meno yote nje na 330,000 kwa siku, wakati wananchi hawana daktari wala dawa wanakufa..........! jamani.......!! na ilaaniwe CCM
   
Loading...