Madhara ya kupuuza wengi na kuwapendelea wachache - mgomo baridi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya kupuuza wengi na kuwapendelea wachache - mgomo baridi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Black Rose, Jan 31, 2012.

 1. Black Rose

  Black Rose JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Suala la Wabunge na posho ya 330,000/= kwa siku kupitishwa na Rais, na huku Waziri Mkuu akiwaamuru madaktari warudi kazini mara moja akiwatishia kuwafukuza kazi wakikaidi ni kwa hasara ya SERIKALI!
  Unaposhindwa kufikia muafaka kwenye mambo ya msingi, unajitafutia tatizo kubwa zaidi.MUAFAKA haufikiwi kwa kuwa na double standards.Hakuna mahali popoye duniani, amani na mafanikio vimetawala kwa vile nguvu na upendeleo vilitumika.
  Madaktari siyo kama makarani useme wakilazimishwa kurudi kazini, utawalazimisha kuandika na kupeleka makabrasha unapotaka wewe mwajiri.Pia siyo kama wafanyakazi wengine useme hata wakivuta miguu hakuna madhara.Hawa wameshikilia roho za watu tena wengi ni maskini, mikononi mwao.

  Serikali hamlioni hili?
  Na nyie wabunge kwanini mnatafuta kutuletea balaa sisi wapiga kura tuliowachagua?
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  faizafix anaweza jaribu kujibu, mi naona wabunge wa ccm wameamua kujichotea fedha zetu kimwisho mwisho, wanauhakika wa kutorudi mafarakani.!!!!!
   
Loading...