Mnyika: Sichukui posho za kukaa "sitting allowance' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika: Sichukui posho za kukaa "sitting allowance'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WATANABE, Jan 30, 2012.

 1. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Akizungumza na wapiga kura wake wa Mtaa wa Mpakani katika Kata ya Kwembe Jimbo la Ubungo siku ya Jumamosi tar 28 Jan 2012 Mhe John Mnyika aliulizwa swali kuhusu kitendo cha wabunge kudai posho zaidi toka Shs 70,000/= hadi 200,000/=.

  Akijibu Mhe John Mnyika alisema kuwa siku zote amekuwa akipinga kitu kinachoitwa posho za kukaa yaani "Sitting Allowances" na kwamba katika vikao vyote anavyohudhuria ikiwemo vya bunge, Bodi ya Barabara ya mkoa wa DSM, RCC n.k amekuwa hachukui posho hizo.

  Naomba kuwasilisha
   
 2. h

  herimimi Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi kabisa.bravo CDM.
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mnafiki mkubwa huyo Mnyika,
  kwa mujibu wa katibu wa Bunge la Muungano Dr Kashilila ni Mh Zitto Kabwe pekee ambaye hajachukua posho zake . Wengine wote including Mbowe wanazilamba kama kawaida.

  Aache unafiki aseme kweli, ni posho gani ambazo hachukui.
   
 4. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mnafiki yeye au wewe usiye elewa?amekuambia hachukui sitting allowance,alafu unaandika kua aseme ni posho gani ambazo hachukui!kweli kichwa kimejaa cement
   
 5. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red nina wasiwasi, either wewe reporter au Mnyika, mmoja wenu lazima anadanganya. Mnyika ameacha lini kuchukuwa posho ya vikao vya Bunge?
  CHADEMA wananisikitisha sana jinsi walivyoshindwa kusimamia hoja hii, na nimegundua kwamba si hoja ya chama bali imebaki kuwa hoja ya Zitto, amaa kweli kuepuka vishawishi vya pesa ni ngumu.
   
 6. K

  Kikambala Senior Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Usiwe **** unapojadili mada,tofautisha kati ya sitting allowance na posho ya kujikumu,anachokataa ni posho ya kusinzia bungeni,jana ulimwona mkuchika na nyoni walivyouchapa usingizi mwanzo mwisho,na wakitoka wanadaa sitting allowance,kweli magamba taaabu sana
   
 7. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Hapa huna hoja kwa kuwa Spika wa Bunge Mhe Anne makinda amethibitisha kuwa hutumia dafatari la muhudhurio kama kigezo cha kuwal;ipa posho wabunge hata kama wameshatamka hdharani kuwa hawataki kulipwa posho husika. Suala la Bunge kutumia kuhakikisha idadi kubwa ya wabunge inatumiwa posho hizo katika kaunti yao kinguvu halina mjadala.

  Madhumuni yangu kuleta hoja hii ni kama yupo mtu na ushahidi kuwa huko kwingine alikokutaja kuwa wahudhuriaji hulipwa posho kama vile vikoa vya Bodi ya barabara, RCC n.k ambako hakuna utaratibu wa kimabavu kumlazimisha mtu kuchukua posho haulete ushahidi huo hapa ili tuupime.
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0

  Kumbuka kiuhasibu kuna utaratibu wa kurejesha pesa za Serikali pindi unapoona zimeingizwa kimakosa. sasa wao wabunge wa Chadema wanatumia utaratibu huo kuzirejesha. Au ndio wanatumia kwa matumizi binafsi kisha wanawaongopea magwanda wenzao kuwa hawachukui posho.

  Kumbuka kuwa posho na mishahara yao yote inatumbukizwa kwenye account zao.

  Kama sio wanafiki kwanini wasifuate utaratibu wa Zitto.

  Kisebusebu na kiroho papo. Heko Zitto kabwe kwa kuwa mkweli na muwazi. Heko shibuda kwa kusimamia maneno yako.
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  John Mnyika, sichukui, Tundu Lissu, nachukuwa, Zitto Kabwe, sichukui, Freeman Mbowe, nachukuwa, Joseph Mbilinyi, nachukuwa, Godblees Lema, nachukuwa..

  Hiki ndio chama makini cha siasa Tanzania Chadema. Kila mmoja na lake.
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hii kauli ni thabiti kweli? Nasikia Freeman Mbowe amechukua V8 mpya ya serikali.
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kimbunga.
  Mbowe, huwa hataki mchezo linapokuja suala la pesa...

  Nakumbuka ilikuwa Star TV kwenye kongamano la Katiba sikumbuki ilikuwa wapi, Tundu Lissu, aliulizwa vipi unachukuwa posho bungeni?

  Tundu Lissu, akijibu mie sichukuwa lakini wananiwekea kwenye akaunti yangu.

  Hakaishia apo hakusema baada ya kuwekewa hizo pesa anazipeleka wapi!
   
 12. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Jitahidi kusoma vizuri na kuelewa ndipo uchangie,kujibu kwa jazba haisaidii kuchangia vzr bali kuonesha we si mtulivu unapokabiliana na jambo.Mnyika amesema huwa hachukui sitting allowances si ya bunge,bodi ya barabara wala rcc sasa kama wewe unahakika kuwa anachukua lete vielelezo vya kuonesha anachua.tuache kujadili kwa hisia wakuu
   
 13. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Miaka yote hizi posho zilikuwa haziongelewi hadharani, sasa baada ya kuwekwa wazi nyie mnaotoa mapovu humu mnachukua hatua gani kuzipinga?! Familia zenu na na marafiki zenu mnawashauri nini kuhusu posho?? Mwenye uwezo wa kuokoa hela za walipa kodi zinazoibiwa kwa jina la 'sitting allowance' ni serikali iliyo madarakani. Wewe kama raia wa nchi hii unaiambia nini serikali kuhusu posho hii?!
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Posho posho posho!! Siamini kama Mnyika hachukui posho. Zitto peke yake ndiye ametoa kauli thabiti hawa wengine wanacheza mazingaombwe.
   
 15. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Watanzania tunamatatizo mengi sana na mazito tunayopaswa kuyajadili, kwa nini watu mnang'ag'ania hili dogo sana la posho!?? inamaana hakuna kingine cha kujadili mpaka tukae kujadili posho? tunashindwa kujadili jinsi rasilimali za Taifa zinavyoibwa mchana kweupe tunawajadili watu? eti huyu kachukua posho yule hachukui?

  Mnyika ameshawaeleza yeye hachukui Sitting Allowances sasa mnataka asemeje?, au watu wanashindwa kutofautisha kati ya sitting allowance na perdiem?, halafu mwingine anasema eti mbowe kachukua V8 ya Serikali? kwani si halali apate au ni vipi?, mbona hatuhoji mambo makubwa jamani? Ki ukweli mjadala wa kuwajadili watu na kipato chao ni kama kuwasimanga vile? hivi kama mbunge anatekeleza wajibu wake na sisi wananchi tunamkubali kwa nini tuhoji kipato chake?, tunatakiwa tupambane na watu wasio na huruma na chi hii jamani kuna mambo mengi yaendelea hapa Tanzania ambayo ndiyo yanaleta ugumu wa maisha ya watanzania hayo ndiyo tuyajadili.
  Nchi inazama hii tutalaumiwa na vizazi vyetu! nyie kalieni kujadili posho na mizaha ya kila siku, jamani oneni hatari inayoikumba nchi hii.

  ni maoni yangu tu.
   
 16. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Miaka yote hizi posho zilikuwa haziongelewi hadharani, sasa baada ya kuwekwa wazi nyie mnaotoa mapovu humu mnachukua hatua gani kuzipinga?! Familia zenu na na marafiki zenu mnawashauri nini kuhusu posho?? Mwenye uwezo wa kuokoa hela za walipa kodi zinazoibiwa kwa jina la 'sitting allowance' ni serikali iliyo madarakani. Wewe kama raia wa nchi hii unaiambia nini serikali kuhusu posho hii?!
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mnyika, anachukuwa posho kama kawaida, bahati nzuri ni member humu JF ajitokeze akanushe.
   
 18. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiacha kuvaa hicho kitambaa nitakujua kuwa umeacha kueneza uislamu!! shame!! upon all dirty brains that entertain religious and ethnicity marijuana Shame again shameee!!!
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwanin hizo hela za posho wasiwekeze katika ku-manufacture doctors???$
   
 20. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  povu limemtoka mbaya kakurupuka sijui alikuwa anakunya? Au kapigwa dole kwenye masaburi yake.
   
Loading...