baada ya majibizano ya muda mrefu kati ya maalim seif na mhe hamad rashid kwamba hamad hawezi kwenda wawi kwa kuwa hakubaliki, hamad ameamua kuvunja ukimya na kwenda wawi. japo kuna watu wanasema...
Wana jf kuna mtandao wa siri inasemekana umeanzishwa ili kumsaka mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm!
Source:jambo leo!
Swali langu:
je ni mbinu nzuri?je kuna aliyefichika ndan ya ccm ambaye watz...
Kuna tetesi kwamba Leo Mh Mbowe na Dk Slaa watashiriki ibada ya j2 katika kanisa la Machui liliopo Jimbo la Uzini.
kwa mara ya kwanza tunaweza kumuona dk Slaa akiwa kwenye sherehe za Ibada. Kwani...
Katika uchaguzi uliopita mwaka 2010,ccm walieneza propaganda mbaya sana kwa waislam juu ya chadema,wakidai chadema ni chama cha wakristo!!propaganda hiyo japo chadema walionekana kuipuuza lakini...
pinda huwezi kutudharau madaktari kwa taarifa yako tuna uwezo wa kuondoka au kusoma vitu vingine poatgraduate. Kwa hiyo watch out hii vita utachemsha kwa sababu kutibu huwezi na umekurupuka.
Friday, January 27, 2012KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI
Mgomo wa madaktari unaoendelea hivi sasa umedhihirisha kwamba tuna serikali dhaifu yenye ombwe la uongozi. Haiwezekani wananchi wakawa wanakufa...
Ndugu zangu madaktari poleni kwa pilika ila niseme tu kazi ndio inaanza.........hawa serikali wameamua kuja kwa mtindo wao wa siku zote wa divide and rule na hapa ndipo migomo mingi yenye madai ya...
Wengi bado tuna kumbukumbu nzuri ya kilichotokea katika mchakato wa kuwapata wawakilishi wa viti maalum vya kina mama na vijana ndani ya CHADEMA wakati wa uchaguzi mkuu uliopita, ilikua aibu...
Huu ni ukweli kwa sasa madaktari tumeamua kuanza kufanya semina za ujasiri amali
mdogo mdogo na mkubwa kwani tunaona kuwa kazi tunayoifanya hatuifanyi vizuri kutokana
na mazingira mabovu pia...
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda kesho (Jumapili, Januari 29, 2012) atakutana na madaktari waliofanya mgomo kwenye ukumbi wa Karimjee kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Madaktari hao kwa nyakati tofauti...
Ban Ki-moon said "confronting discrimination is a challenge"
United Nations Secretary General Ban Ki-moon has urged African leaders to respect gay rights.
Discrimination based on sexual...
BY FLORIAN KAIJAGE
29th January 2012
Admitting being duped, Simon Group reveals how it won the deal over the counter
Robert Kisena, the Executive Chairman of Simon Group
At a time...
Wana Jf kuna SMS imekuja Kwangu Bahati Mbaya wana Magamba walikua wanapeana Taarifa SMS ikaja kwangu kwa bahati Mbaya
Wakati kuna mgomo Wa madakatari Hali ya Uchumi mbaya vigogo Wa Ccm...
Amewasili na Kundi la waandishi kutoka tzbara.
Meli 5 ziliwasili zikitokea Tanzania bara kupitia Unguja.
Hoteli za Chake Chake zimejaa wageni waliopanga kuhudhuria mkutano huo.
Jana watu wa mikoa...
Utawala wa kifalme wa ufaransa uliangushwa na wadai haki ya huduma, Jana nikimuangalia Pinda nikakumbuka history ya ufaransa. Kauli za kucheka cheka za pinda Jana zilinishangaza sana, je wasomi...
Taarifa nilizozipokea hivi punde ni kuwa viongozi kadhaa wa Chadema wanaingia mjini Morogoro muda huu kufanya mkutano Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaliko wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya...
Leo asubuhi nilipita karibu na kanisa lilipo karibu kabisa na bandari ya Dar.
Askofu ambae akiongoza misa hiyo aliwashtumu sana madaktari wale wanagoma, alisema si vyema kugoma huku wananchi...
Ndugu Madaktari wote na wale wenye mapenzi mema,
Nimepata habari za kusikitisha kwamba PM amekwanda kukutana nanyi bila mawasiliano ya karibu na viongozi wenu na kukuta hamko ukumbini. Kama...
Kifuatacho arumeru mashariki?nashukuru mungu tulimaliza msiba salama salmin na sasa napenda kufaham what next? Wana jf naomba kuwasilisha hoja binafsi...
wakuu naomba kusikia maoni yenu kuhusu hatua ya waziri mkuu kupanga mkutano na madaktari siku ambayo ni mapumziko na siku ya kufanya ibada.je waziri mkuu haeshimu uhuru wa kuabudu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.