Watamzama yeye waliomsulubisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watamzama yeye waliomsulubisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SINGOGO, Jan 31, 2012.

 1. S

  SINGOGO Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni dhaihiri kuwa madaktari sasa watakuwa wanamkumbuka sana Waziri Mkuu aliyaachia ngazi 2008 kutoka na majibu aliyowapa Pinda. Ingawa madaktari wengi kipindi kile watakuwa walifurahi Lowassa alivyosulubishwa na ile ripoti ya Richmond lakini sasa wanamkumbuka. Angekuwa Lowassa angechukua maamuzi mazito ya kumshauri rais asiongeze posho kwa wabunge peke yao bali maslahi ya kila mtanzania yazingatiwe ikiwa ni pamoja na kuwalipa vizuri watumishi wote wa umma. Bravo EL
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  .
  Lowasi ni nani katika serikali hii mnaejaribu kumleta humu jamvini kila kukicha? As long as Lowasa himself is one of them ''Fisadi's regime'' Nothing good would have happen.
  We jaribu kufikiri jinsi hili genge la majangili lilivyo haramu, wakati likiyasukumia mbali madai ya madaktari na kuwalazimisha kufanya kazi kwa shurti, rais anasign wabunge kulipwa posho ya sh. 330000 kwa siku. Hii inalipwa kwa kila mbunge hata kama hakuchangia chochote ndani ya bunge zaidi ya kuuchapa usingizi.
  HII NDO SISIEM BANA!! TAFAKARI CHUKUA HATUA.
  .
   
 3. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Watanzania tulionywa juu ya JK na EL, lakini kwa ushabikia sura na ujinga tulirubuniwa tukkawaingiza madarakani! Kwa huruma yake Mungu akawafarakanisha na scandal ya Richmond! Vingevyo hali ingekuwa total ufisadi! Lakini hata hivyo JK anavyoitenda TZ ni aibu tupu! Mfumuko wa bei kutoka 5% mpaka 20% miaka 6 tu!! Na bado tunamshabikia Lowassa! Mungu atuepushe na hilo! Tujifunze! Tujisahihishe! Tusirudie makosa!
   
Loading...