Tunamuhitaji dr kigwangala wa wananchi baada ya yule wa madktari kutuongoza kwenye maandamano ijumaa

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Baada ya Dr kigwangala kusimama bega kwa bega na wanafani wenzake tunamuomba mbunge mwingine atuongoze wananchi siku ya ijumaa kulaani posho na uchafu wote wa serikali katika maandamano.
 
Back
Top Bottom