Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Feedback, Jan 28, 2012.

 1. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wakuu nimeona videos za JK anaongea kwenye Forum .Kwanza Brown hakumtambulisha kwa staha sana kama alivyo fanya kwa Zuma na Odinga .Najua mtabisha lakini kuna ushahidi wa jinsi alivyo mtambulisha JK kwenye panel .

  JK naye kapewa nafasi anaanza kuongea kama anaongea na wazee wa CCM mkoa wa Dar .Jamaa kila mahali ni kuchapia oh Tanzania wakati tunapata uhuru tulikuwa na barabara 3 tu za lami .Akaanza porojo na kuacha maswali ya msingi .Je ni kweli aliona yuko sahihi na kuacha maswali ya msingi ? Ghalfa akacheka mwenyewe watu wamekauka tu ukumbi mzima .Ni kweli hakujua watu wanaongelea pale kitu gani ? I stand to be corrected jamani ila ushahidi upo nitaumwaga hapa soon wa kituko chake cha hadithi za barabara miaka 50 iliyopita .

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Tuna matatizo makubwa ya Uchumi, lakini matatizo makubwa zaidi ni kuwa na hawa watu wawili:
  Jakaya Mrisho Kikwete - URT President
  Pinda Mizengwe URT Prime Minister

  WE have FOUR Solid years for them to go; wasting another 10 years?
   
 3. a

  afrione New Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 4. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Nimeona kwenye youtube mwarabu yule chairman Heikal wa CITADEL CaPITAL amelalamika kuhusu kukamishwa na rushwa katika miradi wanayotaka kuifanya Tanzania,Kenya na Ethiopia lakini hakutaja ni nchi gani.

  Oginga alipozungumzia akasema sio Kenya.....sasa Kiwete anaulizwa swali kuhusu elimu yeye halijibu swali hilo bali inaonekana anajibu malalamiko ya Heikal......MY TAKE Bandwith anayo lalamikia Heikal ni Kikwete
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kikwete alikuwa over excited utadhani hakujiandaa hata alipokuwa akitambulishwa na Brown hakusikia hadi Odinga akamshtua kilichomaliza confo lake ni pale alipobabaika kujibu swali la IT education nilimwona kachanganyikiwa kabisa.
   
 6. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mi bado naangalia youtube sasa hivi, ...............ila nimemwona JK akiwa na desa la nguvu.................
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ............ manufacturing of teachers!!................
   
 8. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mie nilishamsamehe na kuacha kufuatilia mazungumzo yake siku nyingi tu! U-Rais ni "mgumu" na unahitaji mtu "makini" na siyo "wito" kama baadhi ya watu wanavodhani.
   
 9. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Samahani Mkuu,
  Hilo neno limo kwenye majibu ya JK????
   
 10. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa Secondary ya kata
   
 11. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hivi hakuna njia yoyote ambayo tunaweza kupunguza miaka ya jk? Mie naona miaka Minne iliyobaki Tanzania itakuwa kama sio nchi tena! Jamani kwanini tusifikilie njia mbadala? Kwani lazima amalize miaka yote?
   
 12. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  swali la msingi kabisa,ahsante,
   
 13. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu,............... huamini???................ sikiliza dk ya 48 -50!!! .................
   
 14. S

  Singili Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata akichapia huyo ndiyo rais wa JMT mpaka 2015. Na kuna tetesi akaongeza tena miaka 5.Sheria si misaafu.
   
 15. S

  Singili Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tangaza nia tukuchague Oct 2012.
   
 16. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  I can understand him he is frustrated this nations has bg problems than his head can take n think and when he is trying to solves he finds out he has led the nation to more large problems,so he fls hopeless,helpless and confused,
   
 17. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nashukuru kwa ushauri,sina vigezo vya kutosha na pia i believe in helping my country in other ways than leading,
   
 18. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Ndio Rais wa tume ya uchaguzi...
   
 19. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  Watanzani tuna mosi jamani, sijui tulimkosea nini Mungu!!
  Alipataje uraisi huyu kiazi!? Mtu mweupe kabisa......anakuwa raisi! tulidanganyika nchi nzima! na tunaendelea kumvumilia?
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  Lunyungu rudi utupe taarifa kamili kama ulivyoahidi
   
Loading...