Aka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SKY TP, Jan 30, 2012.

 1. S

  SKY TP Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kweli maendeleo ya nchi na wananchi wake hutegemea siasa za nchi husika Je ni kweli ama ndiyo janja ya kutaka kutuibia?
  KITU KINGINE KWANINI WANASIASA HUPENDA KUJIKOSHA KWA WANANCHI PINDI CHAMA CHAO KINAPOKUA KINASHHUTUMIWA NA WANANCHI HASA JUU YA UFISADI MFANO MZURI SAMWELI SITTA.NAKUSHINDWA KUTATUA MAMBO HUKO KWAO KATIKA CHAMA AU NDIO NJAMA ZA KUTAKA URAIS.WATANZANIA WENZANGU TUWE MACHO KWA HILI TUSIKUBALI KILAHISI.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Hueleweki......
   
Loading...