Nape jibu Mapigo

Nape jibu Mapigo

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,343
Mgomo wa madaktari unaondelea hasa jiji dar umesababisha madhara haswa kwa wale ambao wanaumwa.Kutokana na huu mgomo mkurugenzi wa uenezi wa cdm ametoa msimamo wa chama chao,tunakuomba nawe utoe tamko la chama chetu cha ccm ili kueleza umma hali halisi
 
huyo ataeleza nini??......ana kipi kipya?
 
CCM ndiyo imesabibisha mgomo na inaendelea kusababisha migomo mingine, sasa unategemea Nepi aeleze nini?
 
Sidhani kama watu wa siasa kama nape wana lolote lile jipya kusawazisha mambo kwenye mgomo huu.
Serikali yenyewe ya chama chao iwajibike kuweka mambo sawa na sio suala la kutoa matamko.
 
nape funguka bana mzee wa vikuku funguka wanachama wako wa mchambawima wanataka ujibu hoja za wanaume
 
nape is hospitalized for his infidelity
 
Huyo ni walewale tu waliokunywa uji wa mgonjwa wakamuacha akafa na njaa. hana jipya

Mkuu edwin, acha kuwakejeli wanyiha wa Mbozi kwa kuwalinganisha na mafiki Nape, kwa kamtindo kao ka kunywa uji wa mgonjwa mpaka anakufa Mbozi Mission. Nape kujibu mapingo humu itakuwa unafiki mtupu.
 
Nahii ishu akiwa kinyume tunakila kichwa na ccm kwishiney
 
By default, msimamo wa waziri mkuu ndio msimamo wa Chama. Sidhani kama kuna umuhimu kwa Nape kuja na tamko lingine tofauti, ingawa akiamua anaweza kufanya hivyo kama chama.
 
Mgomo wa madaktari unaondelea hasa jiji dar umesababisha madhara haswa kwa wale ambao wanaumwa.Kutokana na huu mgomo mkurugenzi wa uenezi wa cdm ametoa msimamo wa chama chao,tunakuomba nawe utoe tamko la chama chetu cha ccm ili kueleza umma hali halisi
Chadema kupitia kwa Slaa wamekua wakijipendekeza kwenye mgomo wa Madaktari ili wajue madai yao lakini Chama cha madaktari-MAT wamesema hawataki siasa au chama cha siasa kwenye mgomo wao,Nape hawezi toa tamko kwani anajua ni jambo la Wanataaluma na Serikali! Nyie magwanda mlisha kurupuka kujitafutia umaarufu lakini MAT ikawapiga stop! Hamuelewi maana ya "Trade Unionism" nyie kila jambo ni siasa tu! Shame on you na magwanda yenu
 
Nackia yy mwenyewe mgomo umeamuathiri ameshndwa kwenda kujtibia madhara alyoyapata toka kwenye carolite.
 
Anakosa sapota nape ni mpambanaji

Thubutu! Soma gazeti la Mwananchi la leo, Nape kaendeleza unafiki wake kwa kutoa mapovu yake kwa kuwachimba mkwara MaDr. eti wasichezee serikali ya walioshindwa kujivua magamba!
 
Chadema kupitia kwa Slaa wamekua wakijipendekeza kwenye mgomo wa Madaktari ili wajue madai yao lakini Chama cha madaktari-MAT wamesema hawataki siasa au chama cha siasa kwenye mgomo wao,Nape hawezi toa tamko kwani anajua ni jambo la Wanataaluma na Serikali! Nyie magwanda mlisha kurupuka kujitafutia umaarufu lakini MAT ikawapiga stop! Hamuelewi maana ya "Trade Unionism" nyie kila jambo ni siasa tu! Shame on you na magwanda yenu

unayo degedege, unaweweseka nahisi we ni msukule kama co msukule unaumwa ugonjwa wa sura ya nape we karolite imekuchubua hadi ubongo
 
Nape hawezi zungumzia hili kwani naye anaona jinsi uonevu wa serikali kwa madaktari ulivyo na jinsi madai yao yalivyo ya msingi atakaa kimya tu
 
Wakati mwingine mambo ya kitaalamu kama haya haipendezi kuingiza siasa siasa
 
Back
Top Bottom