Kwa viongozi wa afrika wa sasa,ocampo ataweka kambi afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa viongozi wa afrika wa sasa,ocampo ataweka kambi afrika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mfianchi, Feb 2, 2012.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Wadau sijui viongozi wa nchi za Kiafrika wana ugonjwa unaoitwa ulevi wa madaraka,haingii akilini mtu anaamua kutumia hila na ghiriba ili abki madarakani,matokea yake ni kusababisha migogoro isiyo na tija kwa wananchi na pia kuleta mauaji ambayo yangeweza kuepukuka,hebu tumchukua babu Wade,Mugabe hawa wazee bado wanang'ang'ania madaraka ambayo huleta maafa makubwa,sasa hapo ICC wakija tunaambiwa oh ICC inazionea nchi za Kiafrika ,kwa maoni yangu mimi naona viongozi wa nchi za kiafrika kwa ulevi wa mvinyo iitwayo madaraka ,wao ndio huwafanya akina Ocampo waje watusaidie kuweka sawa utawala wa haki kwa kuwapeleka hao waheshimiwa huko Hague.Aheri hata akina Chief Mangungu kuliko hawa viongozi wetu wa sasa
   
Loading...