dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,496
- 3,461
hatimae ule mswaada wa malekebisho ya sheria mbalimbali umekataliwa na wabunge hadi bunge lijalo. asubuhi pia walirudisha malekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa. hadi naibu supika akasema "mbona kila zamu yangu ya kukaa hapa ikifika mambo yanakuwa magumu?". bunge limeahilishwa hadi kesho saa tatu. ova