Serikali hii inawajibika kwa nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali hii inawajibika kwa nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RUV ACTVIST., Feb 2, 2012.

 1. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  [h=6]wagonjwa wametoswa, madent walisoma vijini wametoswa, wanafunzi vyuo vikuu wametoswa,wafanyakazi wa serikali wametoswa , wananchi wa kawida wametoswa,sasa hii ni serikali ya nani? Bado mtaipa kula 2015?[/h]
   
 2. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado mtaipa kula 2015?
   
 3. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikali inawajibika kwako ukiwa mwananchi.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Broda, unataka nchi isitawalike?
  Unataka kumwaga damu?
  Wewe si mwenzetu!
  Hujui tuna Mchakato na mipango endelevu ya Mkurabita?
   
 5. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  inawajibika kwa ccm, kula itapata ila kura hapana
   
 6. D

  Deo JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Kwa mafisadi. Wengi wa wenye vyeo ni mafisadi. Ona jinsi mambo ya Balandina yalivyowekwa humu.

  Lakini kwa vyote nani anatender ya kutuletea haya madawa yenye asilimia 10% tu ya kemikali zinazotibu?
   
Loading...