Katibu Mkuu (in waiting) Dada Mwele Malecela
Kikosi cha CSI kimeeleza kuwa the powers at be washaboreka na hii issue ya Madaktari na sasa kila option iko open lakini kikao cha jana usiku kimeazimia kuwa someone has to take the fall and as it is inaonekana kuwa Madaktari wanataka their pound of flesh and in this case its Blandina Nyoni ambaye not only amekuwa liability kwa bosi wake bali kwa chama na serikali.
Na inaonekana kuwa hata watetezi wake walishindwa nguvu na tayari watu washaandaa PLAN B aka replacement wake kama wakiona position yake ni untenable.
Mmoja kati ya majina ambayo yanatajwa sana ni sister Mwele Malecela ambaye unlike Blandina waheshimiwa wanasema anaweza kuwa na empathy with doctors badala ya huyu mama Nyoni. Bila kusahau kuwa Dr Mwele ni msomi aliyebobea na hanuki rushwa kama mama Nyoni.
Lakini habari za ndani kabisa toka kwa mama Nyoni ni kuwa anataka kuchukua the Lowassa route kuachia ngazi mwenyewe nyadhifa zote ambao yeye ni public figure ili aweze kuiprotect family yake from the 24 hrs scrutiny ila wapambe wake wanamwambia a hang on (for their own benefit) na mbaya zaidi hawana cohesive strategy ya kumsafisha huyu mama not only kwenye mainstream media, bali mpaka huku JF ambako mama anadai mahasimu wake (ma daktari) wanamsingiza ya uwongo.
Either way mama hiyo ndio politics lakini taarifa ni kuwa mabosi wake wanaona ONE MONKEY DOES NOT STOP THE PARTY sasa dada Mwele jiandae kukalia kiti!
Tutaendelea kuleta updates JF style. Kaeni mkao wa kula