Miswada yote inayojadiliwa Dodoma ni ya Kiingereza

chademaistheway

Senior Member
Aug 18, 2010
100
86
Sasa mmejiuliza kwa nini wanatumia kiingereza tena kigumu kwenye miswada ile?

Mbaya zaidi CHADEMA hawalalamiki kuhusu hizi sheria zinazotungwa na Bunge. Makes you wonder kama na wao wamo kwenye conspiracy to make us stupid and ******

Hivi mtu yuko kijijini na hajui kiingereza ataweza kweli kuuliza kitu?
 
Serikali haitaki kujadiliwa na inawezekana hata mh. Raisi haielewi miswaada yenyewe, hivi mbunge kama Prof. Maji Marefu atashiriki vipi kwenye mijadala ikiwa kiingereza hata cha kuombea maji hakijui? Si kwamba Prof. Maji Marefu hatakuwa na cha kuchangia bali lugha inayotumika itamzuia kuchangia mawazo ya waliochagua, hii ni kuwanyima wananchi haki yao ya kimsingi, mbona kwenye kampeni za kuwachagua wabunge kiingereza hakitumiki? Hata spika mwenyewe nina wasiwasi naye. Huu ni ulaghai wa hali ya juu watanzania tunaelewa upeo wetu kwenye kiingereza, ipo haja wabunge kuibana serikali ibadili mfumo huu, kiswahili ni lugh yetu ambayo haina shaka yeyote ile ni bora tujenge utamaduni wakutumia lugha tunayoielewa.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Back
Top Bottom