Tsh. 6,600,000/ KWA MWEZI! WAPINZANI WAMESHINDWA ASAKI ITISHENI MAANADAMANO YA UMMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tsh. 6,600,000/ KWA MWEZI! WAPINZANI WAMESHINDWA ASAKI ITISHENI MAANADAMANO YA UMMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by anney, Feb 2, 2012.

 1. a

  anney Senior Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mjadala wa posho ya wabunge wetu inatia aibu kwelikweli.
  1. Kwa siku 20 (4 week days) za wiki anapata milion 6.6 na kama amekaa kwa wiki mbili anapata Milion 3.3. bunge letu siku hizi pia linakaa mpaka siku za weekend hivyo inakuwa zaidi. Pia mkumbuku mashirika ya umma kama NSSF, PPF, Ewura, Tenesco wakiitisha semina 'lainishi' (elekezi) kubariki ufisadi kwenye mashirika ya umma wanawakatia Mshiko mwenigine tena! Hili ni bunge au genge la kugawana mali za wananchi!
  2. Mbunge huyo katika jimbo lake watoto katika shule za kata wanakaa chini hawana madawati, vitabu, nyumba za waalimu, waalimu wenyewe hakuna nk. Akiuliza 'sirikali' anaambiwa hela hakuna.
  3. Mbunge huyo pamoja na kwamba yupo Dodoma kwenye kazi yake ya kawaida posho ya mafuta kwa kila siku ipo palapale tu! huu ni ujambazi uliohalalishwa kwa sheria.
  Nimewasoma vyama vya upinzani nao wamegawanyika hawana tofauti na dola wanalalamika tu hawachukui hatua madhubuti, wamebaki na mawazo ya mtu mmoja moja! Ningetegemea Wapinzani wamekuwa wa kwanza kuitisha maandamano badala ya kupinga kwa maneno tu. Nimekumbuka ule msemo kuwa penye kadhia penyeza rupia, na Makinda alitunguliza rupia hata kabla mkuu wa nchi hajafahamu.
  Ushauri
  1. Watanzania tuamke, asaki za kijamii itisheni maandamano tuone watanzania kama watatuungu mkono kwa hili.
  2. TUCTA amkeni huu ndio wakati wa kuitisha maandamano yasiyo na kikomo mkiwashirikisha wafanyakazi.
  3. Wanafunzi wa elimu ya juu pelekeni ujumbe kwa wazazi! Maana posho ya mbunge ya siku moja ni posho ya mwezi ya mwanafunzi anayesoma elimu ya juu. Wateteeni watanzania walipa kodi.
   
 2. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Kajifunze kuandika ndio upost hapa
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukipata nafasi unatumia maandamano tz tushazoea hata watu waandamane
   
 4. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anney, mawazo yako ni mazuri ila they are not organised.
   
 5. d

  dmatemu JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 591
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Me nadhan cha msingi tuelewe anasema nn, kuwa organised hakusaidii hatuandiki proposal humu. Big up Anney
   
 6. d

  dadaawaukweli Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenena mkuu! Mtu anaandika vitu serious, mwngn anaanza kuangalia mara paraghap, nukta we soma ujumbe uelewe co kuleta vi2 vicvyokuwa na mantiki! Au na we ni m1wapo wanafisadi nchi hii?
   
Loading...