Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Naibu waziri kashikwa pabaya na MB Tundu Lissu, busara za mwenyekiti zimemsaidia sana NW coz TL alishaanza kusoma ukweli na uongo wa NW. TL kadai NW kadanganya Bunge na Ushahidi anao sasa hivi. M/kiti kamwambie asome ushahidi na ananza kusoma, MB mwingine anaomba mwongozo kusema alete ushahidi badae na kipindi cha maswali na majibu kiendelee.
Nadhani inahusika na wananchi kuchangishwa na serikali. NW akitaka kujitetea, M/kiti anampiga stop. Bunge tamu kweli sasa hivi.
 
Huku kuwasilisha kwa maandishi ni ujanja wa kulinda,wamewasilisha mara nyingi ila mpk leo hakuna majibu
Naibu waziri kashikwa pabaya na MB Tundu Lissu, busara za mwenyekiti zimemsaidia sana NW coz TL alishaanza kusoma ukweli na uongo wa NW. TL kadai NW kadanganya Bunge na Ushahidi anao sasa hivi. M/kiti kamwambie asome ushahidi na ananza kusoma, MB mwingine anaomba mwongozo kusema alete ushahidi badae na kipindi cha maswali na majibu kiendelee. Nadhani inahusika na wananchi kuchangishwa na serikali. NW akitaka kujitetea, M/kiti anampiga stop. Bunge tamu kweli sasa hivi.
 
hata mm mkuu tukutuku, napenda wazichape, ila mimi huwa sipendi kupigana, nikizidiwa nanyanyua jiwe la fatuma.
Duh!kumbe mpo wengi!ipo siku utakutana na za kichina china kabla ujanyanyua hiyo fatuma yako teyari utakuwa na ngeu kama saba usoni,hapo ndiyo utajua mabifu si mazuri!!
 
eleza vizuri usomeke, panga maneno yaeleweke, eleza hoja zilikuwaje ili tuelewe na mwisho ukawaje Kisha toa commets zako wenzako tupo mbali na TV jitahidi eeeeh
 
Najaribu kufikiria nachojifikiria Anna Makinda moyoni mwake.....''Tundu Lisu mchochezi anataka bunge lisitawalike huyu''....., tehee tehee CCM wabadilike siyo kila mwaka ni 1990
 
Kuwa mvumilivu si unajua siku hizi JF ilivyopoteza mwelekeo mtu anakuja na hoja ambayo aijakamili na hayuko teyari kufafanua zaidi!kwa mfano NW,TL maana yake nini?hii ni kumchanganya msoma mada!

Kazi kwelikweli haya bana:

NW-Naibu Waziri(Sijajua ni wa nini coz wanasema tu Naibu Waziri-hawajaspecify)
TL-Tundu Lissu.
MB-Mbunge
M/Kiti-mwenyekiti anayeendesha bunge

naona hawa watazichapa si muda mrrefu
 
Naibu waziri kashikwa pabaya na MB Tundu Lissu, busara za mwenyekiti zimemsaidia sana NW coz TL alishaanza kusoma ukweli na uongo wa NW. TL kadai NW kadanganya Bunge na Ushahidi anao sasa hivi. M/kiti kamwambie asome ushahidi na ananza kusoma, MB mwingine anaomba mwongozo kusema alete ushahidi badae na kipindi cha maswali na majibu kiendelee.
Nadhani inahusika na wananchi kuchangishwa na serikali. NW akitaka kujitetea, M/kiti anampiga stop. Bunge tamu kweli sasa hivi.

tunahesabu siku ifike zipashwe bungeni, mwenyekiti naye inamaana hajui utaratibu? kama alishamruhusu kusoma ushahidi kwanini apandwe kichwani na magamba?
 
Kazi kwelikweli haya bana:

NW-Naibu Waziri(Sijajua ni wa nini coz wanasema tu Naibu Waziri-hawajaspecify)
TL-Tundu Lissu.
MB-Mbunge
M/Kiti-mwenyekiti anayeendesha bunge

naona hawa watazichapa si muda mrrefu

Topic ya ubishi inahusu nini haswa!?? yaani ni kitu gani TL anambana nacho NW??
 
Back
Top Bottom