Ni Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii au Wizara ya Madaktari mbona kila kitu wanataka wao tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii au Wizara ya Madaktari mbona kila kitu wanataka wao tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shykwanza, Feb 2, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haijatulia kabisa ikiwa serikali itakubali kuwa na muundo huu wa utawala na uongozi katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ikiwa itawapa madaktari vyeo vyote hivi wanavyovihitaji na kulazimisha kuwa Wazira wa Afya ni lazima awe Daktari, Naibu waziri awe Daktari, Mganga Mkuu wa Serikali ni Daktari, Wakurugenzi wote wa Wizara pamoja na Idara za Utawala na Mipango, Madaktari, Manaibu Wakurugenzi wote wa Wizara Madaktari, Wakuu wa miradi yote ya Wizara (Program) Madaktari, Mhasibu Mkuu wa Wizara Daktari, Afisa Manunuzi wa Wizara Daktari, Viongozo wa Idara ya Afya katika Mikoa na Halmashauri ni Madaktari wakurugenzi wote Hospitali Madaktari. Kwa ulafi huu wa Madaraka na ubaguzi wa kada nyingine za Afya nashauri kuanzishwe Wizara ya Madaktari tu.


  Ikumbukwe Wizara ya Afya haina kada moja tu ya Udaktari bali kuna kada nyingi na nyingine zimebobea katika fani za utawala na uongozi zaidi ya Madaktari hivyo basi serikali itoe uwiano sawa wa nafasi hizo kwa kada za Udaktari, Katibu wa Afya, Pharmacy, Uuguzi, Maabara etc :shock:

   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Waziri Mwenyewe Katokea Wapi?
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapana! Wewe unataka kuwachonganisha Madaktari na kada zingine. Hayo si madai ya Madaktari, ni madai yako.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo madaktari walivyotaka cmo aondolewe walikua wanajichanganya?
   
 5. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  yaani kuna watu wanakurupuka,cjui ameachwa na mihemko mingi baada ya mtu waliyekuwa wanafanya naye coitus kumkimbia! Hivi mama rimoy ni daktari? Huu upupu unaoweka hapa ndo mnatafutia huruma kwa jamii! Inaonekana una brain anal fistula!
   
Loading...