uvuaji gamba ni ovyo, wewe ndiye wa ovyo-Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete, amekiri wazi kuwepo kwa vuguvugu la upinzani lenye nguvu kubwa hapa nchini, na kuonya kwamba, iwapo Chama cha Mapinduzi...
Jamani angalie TBC1 hao wanaadhimisha miaka 35 viatu vibovu namna hiyo, shame on you CCM, mmenunua Tshirt kwanini hamkununua Suruali na Viatu hata yebo yebo kuficha aibu yenu.
Kwa Hisani ya Mange Kimambi
Watanzania siyo masikini. Huyu dada mwenzetu kaanza kazi 2008 lakini kawashinda wengi wenu walianza kazi 1970. Bisheni picha hizo
MWAM'S HOUSE WARMING DUA...
Mwansheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema akipoza koo lake kwa kunywa maji baada ya wabunge kukataa kupitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2011, mjini...
Jamii yeyote ile huwapata viongozi inaofanana nao. Wanaiba tunaiba,wanapenda sifa za kijinga nasi tunapenda sifa za kijinga,hatuyajadili matatizo yetu kwa ukamilifu na wao hawajadili matatizo yetu...
Katika kuadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa kwa CCM Rais Kikwete aliwapongeza wabunge wa CCM kwa uamuzi wao wa kuitetea Sheria ya Mabadiliko ya Katiba mpya 2011, na aliwaambia kwamba muswaada huo...
Kumekuwa na taarifa kwenye vyomba vya habari kuhusu ufa unaojitokeza baina ya Rais na Bunge, hasa wabunge wa CCM. Kuna kila sababu ya kuamini kwamba, ufa huu kwa kiasi kikubwa unaechochewa na...
Nimemsikia komredi Mukama akisema kuwa TV ya CCM iko kwenye mchakato wa kuanzishwa na tayari bodi imeundwa. Ya chadema hata wazo hakuna, Chadema mpo serious kweli?
JK ametoboa jinsi viongozi wa CCM wanavyoowamaliza Watanzania....kwa kuwafanya 'malofa' na kuwaibia haki ya kupata viongozi wasio na dira, mafisadi. JK akihutubia katika Miaka 35 ya Chama Cha...
Watu wengi wamelalamika kutokana na muda mfupi wa tangazo la mkutano.Lakini pamoja watu wamemwelewa vizuri sana mheshimiwa mbowe.kulikuwa na maswali ya papo kwa hapo.Lakini kwa kweli jinsi mbowe...
Hakika, ya Michael Sata yatatua Tanzania siku moja!
Johnson Mbwambo
Si siri, nasi twamhitaji King Cobra wetu
WIKI iliyopita hakuna habari zilizonisisimua katika duru za kimataifa kushinda zile...
Kuna sms mbili ambazo nimezipata tangu juzi. Moja inamhusu kijana Julius Mtatiro aliyekuwa mmoja wa viongozi wa TAHLISO. Hiyo sitaizungumzia sana kwa sasa lakini ni dokezo kwa watawala wajue...
Kulingana na kauli na wito alioutoa Rais kikwete,leo wakati akihutubia wana ccm katika maadhimisho ya miaka 35 ya uhai wa ccm.Amewataka wana ccm kujiandaa kulikomboa jimbo la Ilemela na...
Jk amesema kweli, kitengo cha propaganda kikipwaya chama kinapwaya. tumekuwa tunasema hapa chadema lazima kuanzisha tv, radio na gazeti kwa ajili ya propaganda. sijui kwanini hamlioni hili?
Nini kitatokea ikiwa Rais Kikwete ameridhia mapendekezo ya Maboresho ya Sheria ya kusimamia mchakato wa Katiba Mpya na Serikali yake imeshaandaa marekebisho hayo na tayari kumeripotiwa jaribio la...
Ndugu Jk, wewe ndio tatizo la yanayomsibu Mwakyembe.
Nduku JK, wewe ndio chanzo la migogoro yote ya kidini hapa nchini.
Nduku JK, wewe ndio chanzo na kichochezi cha umaskini unaondelea hapa...