Watanzania Siyo Masikini Ni Wajinga ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Siyo Masikini Ni Wajinga !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Feb 6, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwa Hisani ya Mange Kimambi
  Watanzania siyo masikini. Huyu dada mwenzetu kaanza kazi 2008 lakini kawashinda wengi wenu walianza kazi 1970. Bisheni picha hizo
  [​IMG]  MWAM'S HOUSE WARMING DUA (KISOMO)....siku ya uzinduzi wa mjengo wa binti Makamba...! picha na maandishi by Mange Kimambi!

  [TABLE="class: cms_table"]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  [​IMG]

  [​IMG]

  Not rented....(bought)...yes, if we dream hard enough, we can live out

  our dreams...


  [​IMG]
  the door way...

  This is when wivu wa maendeleo unahusika kabisaaaa.....

  IM INSPIRED MEEEEINNN.....


  [​IMG]

  [​IMG]

  mange

  [​IMG]  [​IMG]


  [​IMG]

  Mwam,Sophie,Jaki and Adeline...


  [​IMG]
  Wanaume wakisali kabla ya kuanza dua...

  [​IMG]

  Mwam,Noela and Bimdo...


  [​IMG]
  Dua ikiendelea kusomwa kubariki nyumba na mwenye nyumba....


  [​IMG]
  Chaya,bimdo, etc...


  [​IMG]
  Girls..


  [​IMG]
  kwa kweli hiki kisomo kilihusika mnoo kushinda hata party....


  [​IMG]
  Kiki and Mwam...


  [​IMG]
  Mange,Kiki and Mwam...


  [​IMG]
  Kiki and i...


  [​IMG]
  Tulikulajeeee sasa.......


  [​IMG]
  Mzee Makamba akicheza na mjukuu wake, mtoto wa January...


  [​IMG]
  The girls wakiwa wanamsikiliza Aunty Sadaka....


  [​IMG]
  Girl chatting...was really fun.....


  [​IMG]
  aaawwww, Mwam's abaya is really nice...


  [​IMG]
  Mama Claus.....hizi nguo anauza kama unataka mzukie...


  [​IMG]
  Mr. & Mrs Makamba wakiwa na binti yao Mwamvita.. They must be really proud of

  their daughter...


  [​IMG]
  Kiki and Jameel....


  [​IMG]
  Designed by Kiki...I WANT,I WANT...


  [​IMG]
  TV ROOM.....(UP STAIRS)...


  [​IMG]
  Master bedroom...Damn Damn....uwiiiii....

  [​IMG]

  sina cha kusema kwa kweli...5 star hotel right here....

  in the past 3 days nimejikuta naondoka humu kwa kuvutwa...hahahahaha....


  [​IMG]
  Bathroom....


  [​IMG]
  shower...


  [​IMG]
  Huge Balcony in the master bedroom...


  [​IMG]
  Malaika in her bedroom....


  [​IMG]
  Stairway...


  [​IMG]

  [​IMG]

  Duh...


  [​IMG]
  The living room (downstairs)....


  [​IMG]
  Living room....


  [​IMG]

  [​IMG]

  Kitchen....


  nafwaaaaaa........


  [​IMG]
  Doorway....


  [​IMG]
  IT’S ALL IN THE DETAILS…..


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


   
 2. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 450
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Dear Uhuru1,

  Personally I don't mind what she us. If she went through legal channels, who am I to blame her?
   
 3. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Hili "jumba" lipo Dubai, London au Dar?
   
 4. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mjinga ni wewe unaeweka picha ya nyumba ya mwenzako badala picha ya nyumba yako.
  Kumbavu kabisa, usifanye nikapata ban na ndio nimerudi tu leo.
   
 5. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  kweli ww shetani na ulaaniwe kwa jina la bwana
   
 6. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  karibu kwetu mbeya
   
 7. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Siwezi kusema mengi lakini mwandishi umeandika kitoto. Huwezi kuwaita Watanzania wajinga kwasababu kuna mtu kajenga nyumba na kuna wazee wengi ambao hawana kitu.
  Ukweli ni kwamba Class ni kitu kikubwa sana kwenye nchi masikini mtoto ambaye ametokea nyumba ambayo ina kila kitu, kasomesha vyuo mbalimbali hadi masters na wazazi huwezi kumlinganisha na mtoto wa mlala hoi pale Tanzania. Mimi ni mmoja ya wototo waliofaidika na madaraka na uwezo wa mzee na kufanya kazi serikalini. Ndiyo kuna mambo mengi ambayo ni kama Mtanzania mwingine lakini kama mzazi anaweza kukulipia shule USA au UK mpaka masters ni vigumu kujilinganisha na mlalahoi wa kawaida. Vilevile mazingira uliyokulia yanakusaidia kukutoa ushamba na kukupa uwezo wa kujua dunia kuliko mtoto aliyetokea familia masikini. Kuna watoto wa familia masikini wanafanikiwa na watoto waliobarikiwa kuwa na wazazi wenye uwezo kufeli kimaisha lakini nafasi za kufanikiwa si sawa.
   
 8. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Umasikini wa tz sio nature ni mipango
   
Loading...