Mukya anawafunika wabunge wa viti maalum kuijenga CHADEMA

ando

Member
Oct 10, 2011
17
1

mbunge huyu yuko mstari wa mbele kwenye kila tukio wengine wamekimbilia dodoma kuchukua posho big up mukya
source gazeti mwananchi
 
Sidhani kama umeongea pointi hapa. Kwamba anafanya kazi nzuri ni sawa si yupo Mkoani kwake? Kwamba walioenda Dodoma wanatafuta posho umechemsha kabisa, unajuaje kama hawakugawana majukumu? Siasa sio kuandamana tu na unajua bungeni kuna muswada wa katiba mpya na ripoti ya Jairo, unataka upinzani uwakilishwe na John Cheyo?
 
Kwa kutumia kigezo cha yeye kuwa na mwenyekiti ndio kawafunika wenzake unakuwa hutendi haki hata kidogo,kila mmoja anawajibika katika nafasi yake kulingana na majukumu yanayotokea wakati huo hivyo si busara kuanza kusema nani kafanya nini na anawafunika wenzake.
 
Utakuwa umeeleweshwa japo majibu mengine yametumia lugha kali sana, pole Kamanda.
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni , ni mbunge gani anaweza kumudu kazi anazofanya mukya , anazunguka nchi nzima kwa wahanga zanzibar ni yueye peke yake alienda kule wabunge wengine wanakula kuku Dar hongera go mukya go
 
Unatumia ****** kufikiri wewe!hujui Kama ni mrs mbowe wa pili? Usiwe unalopoka kuchafua Hali ya hewa bure waulize Arusha watakwambia.asiyelijua Hilo nani chadema ?
Unataka atembee na wabunge wote wa vti maalum? M...t...ko yako wewe!
 
Mtoa mada nafikiri ana agenda bifsi juu ya Mukya ila ameshindwa kuiweka sawa na kaonekana wazi alikusudia kumpaisha ili wanajamvi waweze kumjua maana alikuwa hajasikika jamvini. Nadhani afanye uchunguzi wa kina kisha atajua kuwa kuna wabunge wengi sana wa chadema wa viti maalumu ambao wanapigana kufa na kupona kwa ajiri ya chama na daima wako mstari wa mbele huyo Mukya ndo kwanza namsikia .

Tunahitaji ushupavu katika ripot ya jairo na muswada wa katiba mpya
 
kazi yako kuwaza ngono tu! una umri gani?
 
Sidhani kama umeongea pointi hapa. Kwamba anafanya kazi nzuri ni sawa si yupo Mkoani kwake? Kwamba walioenda Dodoma wanatafuta posho umechemsha kabisa, unajuaje kama hawakugawana majukumu? Siasa sio kuandamana tu na unajua bungeni kuna muswada wa katiba mpya na ripoti ya Jairo, unataka upinzani uwakilishwe na John Cheyo?
siasa ni pamoja na kufanya harakati unakimbilia bungeni unaacha wananchi wananyanyaswa ? hao waliokimbilia bungeni wamechangia nini mpaka muda huu ?
 
sijui umetumia vigezo gani hapo ,umetumia uwezo mdogo sana wa kufikiria.
kigezo nilichotumia ni kufanya kazi ya ujenzi wa chama , wengine wanaangalia maslahi tu hawafikirii kujenga msingi imara wa siasa za cdm
 
Kwa kutumia kigezo cha yeye kuwa na mwenyekiti ndio kawafunika wenzake unakuwa hutendi haki hata kidogo,kila mmoja anawajibika katika nafasi yake kulingana na majukumu yanayotokea wakati huo hivyo si busara kuanza kusema nani kafanya nini na anawafunika wenzake.
hao wengine wanatekelezea wapi majukumu yao mbona hatuwaoni Mukya juzi kaongoza maandamano Arusha hao wengine wako wapi?
 
wewe umemtamani ,au huwajui wengine au historia imekupita kushoto
historia ya nini tuangalie muda huu hayo ya historia tutayatumia kama rejeo tu , au kama una historia ya yeyote aliyewahi kufanya haya anayoyafanya mbunge huyu yabandike hapa
 
Mtoa mada nafikiri ana agenda bifsi juu ya Mukya ila ameshindwa kuiweka sawa na kaonekana wazi alikusudia kumpaisha ili wanajamvi waweze kumjua maana alikuwa hajasikika jamvini. Nadhani afanye uchunguzi wa kina kisha atajua kuwa kuna wabunge wengi sana wa chadema wa viti maalumu ambao wanapigana kufa na kupona kwa ajiri ya chama na daima wako mstari wa mbele huyo Mukya ndo kwanza namsikia .

Tunahitaji ushupavu katika ripot ya jairo na muswada wa katiba mpya
wataje kwa majina kama wapo wote wanachumia tumbo
 
Unatumia ****** kufikiri wewe!hujui Kama ni mrs mbowe wa pili? Usiwe unalopoka kuchafua Hali ya hewa bure waulize Arusha watakwambia.asiyelijua Hilo nani chadema ?
Unataka atembee na wabunge wote wa vti maalum? M...t...ko yako wewe!
hayo ya kuwa mke wa mbowe ni maneno ya kujaribu kuchafua sifa nzuri alizonazo na ni maneno ya mkosaji daima . Arusha lazima watamheshimu sana go Mukya go usikatishwe tamaa na hawa wenye wivu wa kike
 
Juikwaa linaboa hili siku hizi? hivi wale great thinkers wakongwe wako wapi sasa? maana tumeingilwa sana.
 
duh huwezi kukusanya mawe kwa chelewa ha ha ha ubunge ni kutumikia wananchi kwa kuwasemea kwenye vikao husika baada ya kuwasikiliza sasa huyo unayejaribu kumpamba kabla hajaoga harufu inakuumbua kama kakulipa hongera kwa kuingiza siku ila haujafuzu
 
Mukya dont worry maisha ya siasa ni kuchafuana sasa elewa Safari bado ndefu na maisha ya Mapambano lazima yaendelee,kumbuka Harakati muhimu na huwezi wazuia Watanzania wenye fikra za Kiccm kuyungumza.
 
Back
Top Bottom