Hivi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haiusiki na huu mgomo wa madakitari??Mbona sisikii Rais,Waziri Mkuu,Waziri wa Afya wakiuongerea huu mgomo??Je wananchi wanaokufa pale Muhimbili...
SHEREHE ZA MIAKA 35 YA CCM IRINGA NI MKOSI MTUPU,
WAFANYABIASHARA WAMKIMBIA PINDA
SHEREHE za miaka 35 ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa ni mkosi mtupu ni baada ya wabunge...
Salaam kwa WanaJamii Forum wote na nashukuru kwa kunikaribisha.
Nimevutiwa sana na mtandao huu kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kuzingatia taratibu na uhuru wa mawazo.
Naomba kwa kutumia Jukwaa hili...
Leo hii Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa statement kali ya kuinanga serikali ya CCM kuhusu mgomo wa madaktari. kikubwa walichosema na kwa kuionya serikali kutotumia vitisho...
Katika mazingira ya kawaida kabisa kwenye nchi yeneye uwajibikaji watu kama Mizengo Pinda, Haji Mponda, Blandina Nyoni na Anne Makinda wote wangejiuzulu mara moja nafasi zao!
Inawezekana vipi...
Katika taarifa ya habari ya Radio Clouds ya saa 12 jioni, Kituo cha msaada wa sheria na haki za binadamu (LHRC) kimetoa tamko kali kuhusu mgoma wa madaktari. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema ameshangazwa na taarifa za tishio la wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kugomea kujadili muswada...
Hospitali ya Wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam !
Kwa takribani wiki Tatu za mgomo wa madaktari wa Tanzania , hospitali hiyo ilikua ikiendelea na HUDUMA, hadi ilifikia hatua ya madiwani wa...
Wangefuta tu hii session ya papo kwa papo, haina tija japo nimeangalia kwa siku moja tu.
Leo nilikuwa sina kazi na kwa mara ya kwanza nikatazama TBC kutoka bungeni, kipindi cha maswali na majibu...
Leo katika gazeti la majira imeripotiwa kuwa serikali iliingia mkataba na kampuni ya utafutaji gesi ya Pan African Energy Tanzania Limited ili kutafuta gesi hapa nchini na katika mkataba huo CAG...
wakuu kuna taarifa kuwa madaktari bingwa katika hospitali ya taifa muhimbili wameungana na madaktari wengine nchini na kuamua kuweka vifaa chini(tools down) nasubiri kupata tamko lao rasmi.
Nimemfuatilia sana huyu Mhe. Aggrey Mwanri, Naibu Waziri wa TAMISEMI, naamini kabisa huyu jamaa ni jembe na anamfunika waziri wa hiyo wizara George Mkuchika. Kwa nini hakupewa wizara kamili ...
TUMEGUSWA sana na jinsi Rais Jakaya Kikwete anavyosimamia vyema mchakato wa kuwapatia Watanzania Katiba mpya. Siyo siri kuwa, mchakato huo ulipoanzishwa mwaka jana, wakosoaji wengi walisema...
Ndugu wananchi !Kwa miaka mingi sana serikali ya Tanzania inatumia kodi ya vinywaji kuongeza mapato ya serikali. Katika kipindi cha Nyerere na cha Mwinyi, walipaji wakubwa wa kodi walikuwa ni...
Je ni sahihi kuvunja mkataba wa kimataifa kwa azimio la bunge! Nasikitika sana kwamba bunge linaelekea kurudia kosa Kama lile la Dowans liloigharimu nchi yetu zaidi ya bil, 90/-.
Asubuhi Waziri...
Mussa Juma na
Peter Saramba, Arusha
JAJI wa Mahakama Kuu, Aloyce Mujulizi jana alijitoa kusikiliza kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini ,Godbless Lema (Chadema) baada ya...
Jamani mie sielewi ati..........yaaani uchaguzi unafanyika fools day............ili hata mambo yakiharibika, watu waibe kura, itaonekana ni siku ya wajinga. Siku hiyo tutasomewa washindi wa ajabu...
Katika gazeti la Habari leo la februali 4,2012 uk wa 5 kuna taarifa kwa umma iliyotolewa na wizara ya ujenzi na kusainiwa na katibu mkuu wake bwana Mrango kukanusha habari zilizochapishwa katika...
RAIS wangu, maandiko yanasema amtumaye mpumbavu hujikata miguu na kunywa hasara. Wananchi wamewatuma wawakilishi wao bungeni wakawawakilishe. Bunge linaendelea na vioja vya kibunge navyo...