Viongozi wa kitaifa mko wapi???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa kitaifa mko wapi????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Feb 8, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Hivi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haiusiki na huu mgomo wa madakitari??Mbona sisikii Rais,Waziri Mkuu,Waziri wa Afya wakiuongerea huu mgomo??Je wananchi wanaokufa pale Muhimbili siyo wananchi wa nchi hii??
  Kweli masherehe lukuki
  yote yaliyopita ya kuadhimisha miaka35 ya kuhujumu nchii wameshindwa kutolea uamzi wa mgogoro huu!!Kweli Tanzania si nchi ya kuishi kwa raia wa Tanzania!!
   
 2. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hii serikali ni legelege/goigoi sasa hakuna ubishi tena
  Hakuna wa kusema, hakuna wa kusimamia, hakuna wa kutekeleza na hakuna wa kufuatilia, wote wanasema!
  Njomba Nkapa uko wapi???
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna msemo nimuona sehemu nimecheka sana.
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  bro KK mbona wamezungumzia sana PM,na katibu mkuu wizara ya Afya ika ndo wameongea pumba tupu.
   
Loading...