SERIKALI inawachunguza baadhi ya maofisa wake waandamizi kwa tuhuma za wizi wa dola50 milioni za Marekani sawa na Sh86 bilioni, zilizotengwa kwa ajili ya ununuzi wa mafuta mazito ya kuzalishia...
kutokana na mgomo wa madactari unaoendelea nchini kote , hali katika hospitali ya temeke inazidi kuwa mbaya baada ya madactari wa hospitari hiyo kusitisha huduma,wagonjwa wanazidi kupoteza maisha...
Hakuna aliyetemea kwamba Kijana msomi lakini masikini wa kutupwa wa tunisia alipojichoma moto na kupoteza maisha yake Mwishoni mwa Mwaka Juzi angeacha nyuma yake harakati za kuwaondoa madarakani...
Watanzania hivi nchi hii ina Waziri Mkuu Mtendaji au ni waziri Mkuu kivuli. hivi huyu pinda anafanya nini na hivi huyu anatafuutina na Lowasa kwa lipi? Inasikitisha sana Waziri Mkuu kuwa na mawazo...
Leon BahatiMAKAMISHNA watatu wa Idara ya Uhamiaji nchini, wamesimamishwa kazi ikiwa ni siku 20 tangu Waziri wa Mambo ya Ndani , Shamsi Vuai Nahodha atangaze kufanya mabadiliko ya kiutendaji ndani...
Jamani wananchi na watanzania wenzangu, kwa hali ya nchi inavyokwenda hivi sasa, tunahitaji neema ya mungu
kuweza kuinusuru hali jinsi ilivyo. Mbona mambo hayaendi na maisha ya wananchi yanazidi...
:A S 465:Asalaam aleukum wana JF wote.
Naomba watu msinielewe vibaya kuuliza si ujinga kuna mambo mawili ambayo yanachanganya taasisi mbili muhimu hapa nchini!
taasisi ya kwanza ni Bunge kama...
Kutokana na hapa taifa lilipofikia, mahala ambapo bila haja ya maelezo ushahidi uko wazi kuwa mwelekeo wa nchi ni lazima ubadilishwe; na kwa kufahamu kuwa hakuna aliyeko madarakani mwenye uwezo wa...
Na Mwinyi Sadallah
23rd January 2012
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitapinga Umoja wa Mataifa (UN) kuiongezea Tanzania mipaka ya eneo la kiuchumi la bahari Kuu kabla ya kupatikana...
Kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha Madaktari wakazi (Resident) na Interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo.
Kkatika...
Nampenda sana JK lakini kwa kumuonea huruma zaidi. Ukweli nchi imemshinda. Pita kila mahali ndani ya nchi, kila mtu analalamikia udhaifu wa serikali ya JK. Naungana na beatrice Shelukindo kuwa...
Mhe rais wangu,nimeona nikupe salamu zangu hizi,mimi ambaye ni mtanzania wa chini kabisa baada ya kuona mambo yanakwenda kombo ili hali sisi watanzania wakawaida kwa imani kubwa tulikuamini na...
Ndugu zangu hii taarifa nimeipata kutoka kwa wandani wangu aliopo pale Wizara ya Afya. Kwamba Katibu Mkuu wa Wizara Bi Brandina Nyoni haivi na Naibu Waziri wake, Bi Lucy Nkya. Na inadaiwa kuwa...
Wakuu wote .Kama mmeipata mnisamehe na kama hamjaipata basi Mkuu Mbowe na Wenje walisema haya huko ziarani kwa Obama .
Gonga link usikie mwenyewe
www.changamotoyetu.blogspot.com.
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge kwa kipindi sana hasa katika bunge hili lililoanza mwaka 2010 ambalo limekuwa linakaribiana na changamoto kubwa nadhani kuliko mabunge yote yaliyowahi kutokea...
Habari kutoka Vyanzo vya ndani ya Bunge vinatuambia Mgomo baridi unaendelea kati ya Viongozi wa Kuu wa nchi na sasa Unaingia katika Uongozi wa Juu wa Bunge na Wabunge
Wabiunge walijipanga...