Nampenda sana JK, Ila nadhani Nchi inahitaji Snap elections! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda sana JK, Ila nadhani Nchi inahitaji Snap elections!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Feb 7, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nampenda sana JK lakini kwa kumuonea huruma zaidi. Ukweli nchi imemshinda. Pita kila mahali ndani ya nchi, kila mtu analalamikia udhaifu wa serikali ya JK. Naungana na beatrice Shelukindo kuwa watanzania wenye mawazo makubwa tuanze kuwaza kuishinikiza serikali iitishe uchaguzi mpya. Katiba yetu inaruhusu. Sioni kama kuna uwezekano wa kuendelea na ombwe la uongozi kwa miaka karibia minne ijayo. ni maoni yangu tu ila I am so frustrated with this administration.
   
 2. i

  ibange JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Au kama hiyo itakuwa ngumu, angalao bunge lipige kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ili tumpe rais nafasi ya kuunda serikali mpya labda inaweza kusaidia kusogeza siku
   
 3. M

  Magana Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Ni kweli Kikwete ngoma imemshinda hii, nilivyokuwa nikimsikiliza ktk hotuba zake za kampeni moja kwa moja nilihisi huyu mzee anataka mjengo si kwa masilahi yetu bali yeye kwanza.
  Kitu kingine kinacho niuma kwa mwenyekiti huyu wa ccm na kunifanya kutoipigia kura ccm hata siku naingia kabulini ni kama ifuatavyo:-
  1: Nilisikitika sana Rais JK alipo ikana hadharani Dowans na Richmond, hii ilithibitisha udhaifu wa serikali.
  2: Malumbano ya posho za wabunge, sipika na waziri mkuu wanakiri Rais kabariki posho hzo lakn ikulu inaruka futi mia, JK umechemka mbaya mjomba.
  3: Watuhumiwa wa EPA mbona wakubwa hawafikishwi mahakamani? Kama kina KAGODA? Kuna nini hapo, mmechemka na tumeisoma hiyo.
  4: Nashangaa madaktari wanagoma wala JK ndo anakula safari za ulaya kula bata tu, najua sababu ni kwamba wao huwa hawatibiwi Mhimbili, Bugando wala KCMC wao ni Ulaya au Asia hasa India.
  Unasubili mgomo wa madaktari wa India ndo ujue madaktari wamegoma? Umechemka jombaa.
  NAKUPENDA LAKINI KWA MTAJI HUU MIMI NA UKOO WANGU CCM HAMTAZIPATA KURA ZETU N'GO
   
 4. Companero

  Companero Platinum Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  "Turning and turning in the widening gyre
  The falcon cannot hear the falconer;
  Things fall apart; the centre cannot hold;
  Mere anarchy is loosed upon the world,
  The blood-dimmed tide is loosed, and everywhere
  The ceremony of innocence is drowned;
  The best lack all conviction, while the worst
  Are full of passionate intensity"

  - The Second Coming - Yeats
   
 5. i

  ibange JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  You are right bro
   
 6. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  "Kama unampenda kanywe nae chai"
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  that is companero, the independent thinker!!
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  huyu hawezi kuwa kiongozi wenu, kama mnaangalia sura ....... Nyerere alisema kama mnapenda sana sura yake kanyweni nae chai au kahawa au whisky.
   
Loading...