Live!! Chanel Ten!! Hoja ya mgomo wa Madktari! Wachangiaji wanahasira we acha tu!!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Nimefika home nikakuta live mahojiano!

Twendeni pamoja ndg zanguni.

Nawasilisha!
 
Mkuu kuna watu tuko mbali na aksesi za TV tunatumia mchina na tuko kazini night shift,tumwagie data hapahapa jamvini.
 
Liverpool kaka japo me Arsenal kesho tuungane tumwangushe mkoloni.

Singoji tamko wala katazo
 
Mkuu kuna watu tuko mbali na aksesi za TV tunatumia mchina na tuko kazini night shift,tumwagie data hapahapa jamvini.

Samahani Mkubwa wangu!

Hakika wadau ktk mada lengwa la madaktari wanamachungu sana na viongozi wanaolengwa wamalize suala hili la madaktari na mpk sasa hawajatatuliwa

Ingali nimeikuta mada yenyewe mwishoni mwishoni lakini ni laiti kabisa ya kwamba kesho asubuhi hili la madktari haitatuliwa,wamesema maandamano kesho ni mtindo mmoja mpk kieleweke!
 
Back
Top Bottom